Kuna mwenye uzoefu wa kutoka kimapenzi na mwanamke lecturer humu?

Isenye

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2024
Posts
1,985
Reaction score
5,167
Kuna single mother mmoja nimemuotea mahali ni lecturer wa chuo kikuu kimojawapo hapa nchini.nimepiga mara moja lakini naona ameanza kuniganda,ila naona kama anajiheshimu flani hivi.
Kuna mwenye uzoefu wa kutoka na hao viumbe kimapenzi humu?
 
Dah! Ilibaki kidogo ni "disco" chuo mwaka wa tatu, nilipigwa supplementary, nikashindwa kuchomoa, nika carryover mwaka ujao. Course work tuu, akanikamata, nikashindwa kuchomoa. Kufuatilia kumbe Lecturer wa somo husika tulikuwa tunashea demu ambaye na yeye ni Ass Lecturer hapo chuo, alivyojua tunashea akapanga kunipiga "vyuma" supplementary kwenye somo lake ili nikishindwa kuchomoa, nianze upya kutafuta course work, nikishindwa ni disco chuo mazima. Chuoni kwetu, ukipigwa Sup, unatakiwa usapue, ukishindwa unaanza upya somo. Ukishindwa kupata C, una disco. Tulikuja malizana badae ilibidi anichane maana tulipokuwa tunaenda nilikuwa na disco,n somo lenyewe DS, maana kuna siku aliniita akanambia dogo umekuja hapa kusoma au kufanya mapenzi? 😊
Akanambia utarudi kwa baba yako bila degree. Nikaona hapa noma, nikaachana na mapenzi nikaamua kusoma. 😊
 
Hiyo ilikuwa vuta nikuvute kichwa cha chini na kichwa cha juu
 
Issue yako ni tofauti na yangu,mimi sio mwanafunzi,tumekutana nae mtaani tu.
 
Kuna single mother mmoja nimemuotea mahali ni lecturer wa chuo kikuu kimojawapo hapa nchini.nimepiga mara moja lakini naona ameanza kuniganda,ila naona kama anajiheshimu flani hivi.
Kuna mwenye uzoefu wa kutoka na hao viumbe kimapenzi humu?
Hebu nipe mawasiliano yake ili nimshauri huyo Lecturer aache tabia yake mbaya ya kutembea na vijana wadogo wasio jiitambua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…