Kuna mwenye uzoefu wa kutoka kimapenzi na mwanamke lecturer humu?

Members watakuaje na uzoefu na mwanamke unayetoka nae wewe...
Weka picha yake na number ya simu, wakupe miongozo...


Cc: Mahondaw
 
Kwani akiwa lecturer anakuwa na maajabu gani? Au wewe hujui kusoma na kuandika😅
 
Kuna single mother mmoja nimemuotea mahali ni lecturer wa chuo kikuu kimojawapo hapa nchini.nimepiga mara moja lakini naona ameanza kuniganda,ila naona kama anajiheshimu flani hivi.
Kuna mwenye uzoefu wa kutoka na hao viumbe kimapenzi humu?
Mcheki Mwijaku anawafahamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…