Kommando muuza madafu
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 3,216
- 7,254
Ni kweli hiyo ilikiwa sms na sio comment. Mungu atusaidie kwa kweli.Ulitaka kumtumia private ukajichanganya ukaweka mambo hadharani [emoji2960][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Andika βbaadhi ya wanaume sijui mmekuwaje??β siyo kama ulivyoandika hapo juu maana inasomeka kama umetuweka wote mpaka baba yako.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii thd ingekua inasema kua ni Mwarabu ndio anawatafuna malinda huko chuo,basi sasa hivi kungekua na matusi ya kutukana waarabu wote mpaka dini yao,tena thd ingekua inakimbia kama roketi.
We ndiye unaumia mkuu, hao wanaopandwa wametulia kimya wanaugulia ukuni mbona wao hawalalamiki?Wajibu wangu ni kupiga mbiu mamlaka timizeni wajibu wa kuilinda jamii.
Mkisikia ushoga upo basi jamii underground wanayaona na kuyafunika kuna Tetesi zisizo na mashaka za miaka mingi, bodaboda na bajaji na wanajamii ya SUA wanajua hilo na wanashuhudia ugomvi wa mashoga ama wanaume kwenye makazi ya huyo mzungu ambae inasemekana yupo kwenye mradi wa panya na wanaomfahamu wanasema yupo miaka mingi na anayofanya yanaonekana peupe na hajifichi.
Jamii na mamlaka za SUA zipo na zinaona, yawezekana huyo mzungu ana mchango mkubwa kwenye huo mradi wa panya kiasi kwamba mamlaka na jamii ya SUA wameamua kufunika kombe mwanaharamu apite.
Ninapoandika habari hii nimepata taarifa kutoka vyanzo vya watu ambao wako kwenye kada mbalimbali pale SUA campus kuu Morogoro, Bodaboda, waalimu, baadhi ya wakazi wa mtaa wa kilimo, dereva bajaji, wakazi wa kididimo.
Pia taarifa kutoka mdogo wangu aliyesoma Agronomy SUA na kuhitimu mwaka jana ambae alikuwa amepanga ghetto kididimo.
Kama mimi Wadiz mkazi wa jijini Dodoma naweza kufahamu mambo kama haya toka jamii hio iweje wana SUA wanashindwa kupaza sauti kukemea vitendo vya kishoga vya huyo mzungu kwa miaka yote ambayo ameishi nchini akiwa hapo SUA?
Ni hatari sana kuwa na taasisi na wanajamii wanaokumbatia uozo wa kimaadili kama huo.
Mamlaka husika fanyeni utafiti wenu mtajua yote. Wajibu wangu kama whistle blower nimetimiza.
Wadiz
Jaribu kuongea na mdogo wako vzr, isije kuwa ni miongon mwa wateja wakubwa sana wa uyo Mzungu
Umetaja wanaume wote,kumbuka pia na baba yako nae yumo kwenye kundi la jinsia ya hao wanaume.
Tena anakatikia na miguno ya utamu anaitoa kama yote! *****!Mtu mzima kwa akili zake timamu kaamua bila shuruti kuchomekwa utambi , how am I concerned?
Why should I care?
Kwa hizi comments nilizozisoma hadi hapa inaonesha kama Taifa tuna hali mbaya miaka 10 ijayo.
Yaani watu wanaona kawaida kabisa suala la Mwanaume kumuingilia Mwanaume mwenzake?
Kweli Wazungu wametuweza haki ya Mungu [emoji22][emoji119]
Inastaajabisha sana!Mwanaume mzima mwenye akili timamu anagombania mkuyati wa mwanaume mwenzie [emoji23].
Huo mradi wa panya umehusisha wamakonde wangapi?
Hivi wewe una adabu kweli?! ππππππBaba angu anawatafuta wewe na baba ako mkaukalie muhogo wa jangβombe na ulivyo cheupe mashallah!! Atawatoa ugwadu wote dadeq week nzima hutopata hamu ya kuchungulia jf π€£π€£π€£
Kuna kitu hua nashanga sana, mtu anakubali vp kuingiliwa uwani??!!? Tena mwanaume kabisaa!!
π€£π€£π€£ Ninazo bana sema cheupe anapenda kunikorofisha dada akeHivi wewe una adabu kweli?! ππππππ
Sadtruth πππΎAthari za kuvamiwa na roho chafu kutoka kuzimu