Bila Jamii kuwa na awareness, basi kesho ya Vijana wetu itakuwa mbaya hakika.Tatizo linakuja kwanini kujishugulisha na mambo ya watu wenye akili timamu kwa njee ingawa kwa ndani ni ugonjwa wakati ya kwetu sisi wenyewe yanatushinda kwaiyo tunaona bora tu deal na our stuffs maana hata bado yanatushinda pia we are just minding our business no more
Serikali imeamua kufanya mradi ambao mataifa yaliyoendelea unaofanywa na makampuni binafsi na kupigwa vita na serikali zao.Vipi wahusika wakiulizwa halafu wakakataa?
Unaposikia kwamba sasa hivi serikali imeamua kuleta nchini huduma ya kuongeza makalio ili kuwapunguzia wananchi gharama na muda wa kwenda nje ya nchi, Je kama una akili timamu kuweza kusoma between the lines, hapo unapata ujumbe gani?
wagombanao ndio wapatanao... inaelekea unamuelewa sana ndugu mvunja mabarafu 🤔🤣🤣🤣 Ninazo bana sema cheupe anapenda kunikorofisha dada ake
Kinachosikitisha ni hilo suala la Wakazi wa maeneo hayo pamoja na Serikali kuona ni jambo la kawaida.
Kama imefikia kipindi Wanaume wanamgombea huyo Mzungu, ina maana hata Watoto watakuwa wanasikia hizo habari.
Na ni jambo baya kwenye ukuaji na malezi yao. Itafikia kipindi nao wataona ni jambo la kawaida kuingiliwa ama kuwaingia wenzao.
Kwa kweli kama Wazazi, hatupaswi kulifumbia macho jambo hili. Ni hatari kwa Taifa.
Itafikia wakati unakutana na Kiongozi ni shoga, ama Mwalimu shuleni ama Daktari hospitali naye amekuwa shoga.
Mwishowe Nchi nzima inakuwa inaingia kwenye hii laana.
Wewe choko acha kuniita mimi bwana,mm sio bwana yako,acha kujilengesha,unajitoa ufahamu sio? Wagalatia wenzako wakiona mada inahusu mwarabu hua wanaingiza udini moja kwa moja,punguza kujitoa ufahamu.
Inasemakana hakuna mwanamke wa Kizenji asiyeliwa ndogo 🤔Hapa Zanzibar vijana wanakuwa ndogo kama kawa mpaka limekua Jambo la kawaida tu
🔧🔧🔧Mtu mzima kwa akili zake timamu kaamua bila shuruti kuchomekwa utambi , how am I concerned?
Why should I care?
Mungu atusaidie kwa kweli 🙏🙏Tayari viongozi mashoga wapo, walimu, madaktari, na nishashuhudia! Haya walio kwenye vyombo vya ulinzi na usalama nao wamo, mfano rahisi ni yule kijana wa Znz na matrafiki michele mpaka hapa bara tunao.
Bado kwenye ndondi na soka tu... eeh! Mungu wangu 😔😔😔🙌🏾🙏🏾
Wewe bwana wewe mambo mengine ni ya kuyaacha TU. As long Kila mtu anayo uhuru wa kutumia mwili wake apendavyo....swala la kujiuliza hao watu wanabakwa...?
Kama ni Kwa ridhaa Yao wenyewe waache wenzio wapigwe mbupu Yanini uwaonee huruma watu ambao wenyewe Dunia imewachagulia njia ya kupita...!
Try to mind your own business brother.
Mashambulizi ni makali mkuu punguza vayolensiAndika “baadhi ya wanaume sijui mmekuwaje??” siyo kama ulivyoandika hapo juu maana inasomeka kama umetuweka wote mpaka baba yako.
Haka kanaitwa kanuni y adhabu kana hizi paragraph.Tatizo ni kwamba ni makubaliano ya Watu wazima wenye akili timamu hayo ni mambo ya Watu binafsi.
Dada kumbe unanifuatilia kwenye kila mada,safi sana binti usichoke.Sawa nenda kaolewe uarabuni maana kila mada lazima uingize mabwana zako waarabu.
Vijana wa kiume mnaitana majina ya kike mara paap mzungu kota za SuA anakuja PM kwenu. Sijui mtasemaje. Mm napitaDada kumbe unanifuatilia kwenye kila mada,safi sana binti usichoke.
Bila Jamii kuwa na awareness, basi kesho ya Vijana wetu itakuwa mbaya hakika.
Ndiyo maana kulikuwa na Msemo miaka ya zamani kuwa Mtoto wa mwenzio ni Mtoto wako.
Hivyo jamii ikiwa na collective responsibility, hakutakuwa na hayo mambo kabisa.
Tuungane kukemea hivyo vitendo
Say you mkuu...Mtu mzima kwa akili zake timamu kaamua bila shuruti kuchomekwa utambi , how am I concerned?
Why should I care?
Wewe umejuaje, maana ni jambo linafanyika kwa siri chumbani. Au na wewe umesikia?, Au tayari?Wajibu wangu ni kupiga mbiu mamlaka timizeni wajibu wa kuilinda jamii.
Mkisikia ushoga upo basi jamii underground wanayaona na kuyafunika kuna Tetesi zisizo na mashaka za miaka mingi, bodaboda na bajaji na wanajamii ya SUA wanajua hilo na wanashuhudia ugomvi wa mashoga ama wanaume kwenye makazi ya huyo mzungu ambae inasemekana yupo kwenye mradi wa panya na wanaomfahamu wanasema yupo miaka mingi na anayofanya yanaonekana peupe na hajifichi.
Jamii na mamlaka za SUA zipo na zinaona, yawezekana huyo mzungu ana mchango mkubwa kwenye huo mradi wa panya kiasi kwamba mamlaka na jamii ya SUA wameamua kufunika kombe mwanaharamu apite.
Ninapoandika habari hii nimepata taarifa kutoka vyanzo vya watu ambao wako kwenye kada mbalimbali pale SUA campus kuu Morogoro, Bodaboda, waalimu, baadhi ya wakazi wa mtaa wa kilimo, dereva bajaji, wakazi wa kididimo.
Pia taarifa kutoka mdogo wangu aliyesoma Agronomy SUA na kuhitimu mwaka jana ambae alikuwa amepanga ghetto kididimo.
Kama mimi Wadiz mkazi wa jijini Dodoma naweza kufahamu mambo kama haya toka jamii hio iweje wana SUA wanashindwa kupaza sauti kukemea vitendo vya kishoga vya huyo mzungu kwa miaka yote ambayo ameishi nchini akiwa hapo SUA?
Ni hatari sana kuwa na taasisi na wanajamii wanaokumbatia uozo wa kimaadili kama huo.
Mamlaka husika fanyeni utafiti wenu mtajua yote. Wajibu wangu kama whistle blower nimetimiza.
Wadiz