Kuna Mzungu Mmoja anaishi kota za SUA Sokoine Campus Kilimo Street, anawaingilia wanaume kinyume na maumbile na jamii SUA inajua miaka mingi

Kuna Mzungu Mmoja anaishi kota za SUA Sokoine Campus Kilimo Street, anawaingilia wanaume kinyume na maumbile na jamii SUA inajua miaka mingi

Tatizo linakuja kwanini kujishugulisha na mambo ya watu wenye akili timamu kwa njee ingawa kwa ndani ni ugonjwa wakati ya kwetu sisi wenyewe yanatushinda kwaiyo tunaona bora tu deal na our stuffs maana hata bado yanatushinda pia we are just minding our business no more
Bila Jamii kuwa na awareness, basi kesho ya Vijana wetu itakuwa mbaya hakika.

Ndiyo maana kulikuwa na Msemo miaka ya zamani kuwa Mtoto wa mwenzio ni Mtoto wako.

Hivyo jamii ikiwa na collective responsibility, hakutakuwa na hayo mambo kabisa.

Tuungane kukemea hivyo vitendo
 
Vipi wahusika wakiulizwa halafu wakakataa?
Unaposikia kwamba sasa hivi serikali imeamua kuleta nchini huduma ya kuongeza makalio ili kuwapunguzia wananchi gharama na muda wa kwenda nje ya nchi, Je kama una akili timamu kuweza kusoma between the lines, hapo unapata ujumbe gani?
Serikali imeamua kufanya mradi ambao mataifa yaliyoendelea unaofanywa na makampuni binafsi na kupigwa vita na serikali zao.

Tumeangukia mtego hatarishi. Kuna mambo serikali na hata viongozi wake hawapaswi kushabikia au kujihusisha navyo. Ni basi tu weledi 0.
 
Hapa Zanzibar vijana wanakuwa ndogo kama kawa mpaka limekua Jambo la kawaida tu
 
Tayari viongozi mashoga wapo, walimu, madaktari, na nishashuhudia! Haya walio kwenye vyombo vya ulinzi na usalama nao wamo, mfano rahisi ni yule kijana wa Znz na matrafiki michele mpaka hapa bara tunao.

Bado kwenye ndondi na soka tu... eeh! Mungu wangu 😔😔😔🙌🏾🙏🏾
Kinachosikitisha ni hilo suala la Wakazi wa maeneo hayo pamoja na Serikali kuona ni jambo la kawaida.

Kama imefikia kipindi Wanaume wanamgombea huyo Mzungu, ina maana hata Watoto watakuwa wanasikia hizo habari.

Na ni jambo baya kwenye ukuaji na malezi yao. Itafikia kipindi nao wataona ni jambo la kawaida kuingiliwa ama kuwaingia wenzao.

Kwa kweli kama Wazazi, hatupaswi kulifumbia macho jambo hili. Ni hatari kwa Taifa.

Itafikia wakati unakutana na Kiongozi ni shoga, ama Mwalimu shuleni ama Daktari hospitali naye amekuwa shoga.

Mwishowe Nchi nzima inakuwa inaingia kwenye hii laana.
 
Wewe choko acha kuniita mimi bwana,mm sio bwana yako,acha kujilengesha,unajitoa ufahamu sio? Wagalatia wenzako wakiona mada inahusu mwarabu hua wanaingiza udini moja kwa moja,punguza kujitoa ufahamu.

Sawa nenda kaolewe uarabuni maana kila mada lazima uingize mabwana zako waarabu.
 
Tayari viongozi mashoga wapo, walimu, madaktari, na nishashuhudia! Haya walio kwenye vyombo vya ulinzi na usalama nao wamo, mfano rahisi ni yule kijana wa Znz na matrafiki michele mpaka hapa bara tunao.

Bado kwenye ndondi na soka tu... eeh! Mungu wangu 😔😔😔🙌🏾🙏🏾
Mungu atusaidie kwa kweli 🙏🙏
 
Wewe bwana wewe mambo mengine ni ya kuyaacha TU. As long Kila mtu anayo uhuru wa kutumia mwili wake apendavyo....swala la kujiuliza hao watu wanabakwa...?

Kama ni Kwa ridhaa Yao wenyewe waache wenzio wapigwe mbupu Yanini uwaonee huruma watu ambao wenyewe Dunia imewachagulia njia ya kupita...!

Try to mind your own business brother.​

Shida ni kwamba wakiachwa tatizo litazidi kuongozeka!
Baadae wataanza movement za kudai haki na pia kudai ndoa za jinsia moja zihalalishwe kama ilivyo kwa nchi za magharibi
 
Tatizo ni kwamba ni makubaliano ya Watu wazima wenye akili timamu hayo ni mambo ya Watu binafsi.
Haka kanaitwa kanuni y adhabu kana hizi paragraph.

Hayo makubaliano ya watu wawili pia bado ni batili
Screenshot_20231013_222446_Drive.jpg
 
Acha wapelekewe moto tu si tamaa zao wenyewe.
Mwisho wa siku kama hawabakwi na hawatumii nyero za wenzao basi na waendelee tu.
 
Bila Jamii kuwa na awareness, basi kesho ya Vijana wetu itakuwa mbaya hakika.

Ndiyo maana kulikuwa na Msemo miaka ya zamani kuwa Mtoto wa mwenzio ni Mtoto wako.

Hivyo jamii ikiwa na collective responsibility, hakutakuwa na hayo mambo kabisa.

Tuungane kukemea hivyo vitendo

Hiyo misemo ya zamani asante kwa kutukumbushia ila zamani ni tofauti na sasa ndio maana sasa hivi kuna maendeleo ya technologia (udigitali) Mtoto wa mwenzio sasa hivi si mtoto wako tena maana ni mkubwa mwenzio tena bila wewe kumjua kama ni mkubwa anajieleza kwa vitendo ili ujue kama ni mkubwa mwenzio kwaiyo ni nguvu kwa nadharia iyo uliyoisema kujithibitisha kwa sasa ndio maana we just mind our business na wao wa do the same akili kumkichwa kwa sasa
 
Wajibu wangu ni kupiga mbiu mamlaka timizeni wajibu wa kuilinda jamii.

Mkisikia ushoga upo basi jamii underground wanayaona na kuyafunika kuna Tetesi zisizo na mashaka za miaka mingi, bodaboda na bajaji na wanajamii ya SUA wanajua hilo na wanashuhudia ugomvi wa mashoga ama wanaume kwenye makazi ya huyo mzungu ambae inasemekana yupo kwenye mradi wa panya na wanaomfahamu wanasema yupo miaka mingi na anayofanya yanaonekana peupe na hajifichi.

Jamii na mamlaka za SUA zipo na zinaona, yawezekana huyo mzungu ana mchango mkubwa kwenye huo mradi wa panya kiasi kwamba mamlaka na jamii ya SUA wameamua kufunika kombe mwanaharamu apite.

Ninapoandika habari hii nimepata taarifa kutoka vyanzo vya watu ambao wako kwenye kada mbalimbali pale SUA campus kuu Morogoro, Bodaboda, waalimu, baadhi ya wakazi wa mtaa wa kilimo, dereva bajaji, wakazi wa kididimo.

Pia taarifa kutoka mdogo wangu aliyesoma Agronomy SUA na kuhitimu mwaka jana ambae alikuwa amepanga ghetto kididimo.

Kama mimi Wadiz mkazi wa jijini Dodoma naweza kufahamu mambo kama haya toka jamii hio iweje wana SUA wanashindwa kupaza sauti kukemea vitendo vya kishoga vya huyo mzungu kwa miaka yote ambayo ameishi nchini akiwa hapo SUA?

Ni hatari sana kuwa na taasisi na wanajamii wanaokumbatia uozo wa kimaadili kama huo.

Mamlaka husika fanyeni utafiti wenu mtajua yote. Wajibu wangu kama whistle blower nimetimiza.

Wadiz
Wewe umejuaje, maana ni jambo linafanyika kwa siri chumbani. Au na wewe umesikia?, Au tayari?
 
Back
Top Bottom