Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,600
- 59,760
Ninaomba kuwauliza wakuu maana nimekua nikisemwa semwa sana mpaka sasa kuna wakati nikikaa natamani kua navaa kofia tu muda wote.
Kikawaida nilivyo mimi nina komwe limetokea kwa mbele yaan inafika hatua watu hawaniiti tena jina langu nashangaa mtu ananiita tu komwe badala ya jina langu halisi au akiwa anamuelekeza mtu anamwambia nenda kwa yule pale mwenye komwe.
Sasa hili suala mimi silipendi maana hua ninachukia sana mtu kuniona mimi fala, kua na komwe haimaanishi mimi jina langu naitwa komwe.
Sasa wakuu kuna njia yoyote naweza nikaitumia ili nipunguze komwe au kuna namna gani naweza kufanya ukiondoa kuvaa kofia ili niweze kuficha komwe na nisionekane km nina komwe maana sasa naona naitwa jina tofauti na jina langu na sipendi kuitwa hivyo.
Nasubiria majibu yenu hapa chini.