Kuna namna nyingine ya kupunguza komwe?

Kuna namna nyingine ya kupunguza komwe?

nywele zako itakuwa zimeanza kuota utosini, suluhisho hapo nyoa nywele zote ubaki kipara.
Nywele zipo kawaida mkuu sio kwamba zimeota uposini tu
 
Mkuu unachekesha sana! Sasa unataka kupingana na uumbaji wa mungu? Jikubali shukru mungu kwa kukuumba vzr Kuna wenzio Wana vichwa viwili mtu mmoja...!

N.B kama una ubavu inatakiwa umshushie kipigo kikali sana mtu mmoja wa hapo mtaani aliezoea kukuita jina Hilo. Mtu huyo atatumika kama mfano na jina Hilo litakoma. Kama sio madharau wanawezaji kukuita komwe ilihali jina lako wanalijua?? Punguza unyonge.
Sawa mkuu huu ushauri wako nitajaribu kuufanyia kazi nione km utafanya kazi ingawa mimi mpole sana yaan sasa kwenye ugomvi hapo mtihani sana
 
Kubali hilo jina... Mfano mimi kuna wakati nilikuwa naitwa bichwa bapa... Huwa naitika tu... Mambo yanaenda... Hii inafanya badala ya mtu kuona anakutania atawaza mara mbili na kuona anakupa ujiko... Anaweza acha kukuita komwe mwenyewe...

Wakikuita komwe wewe itika ukiwa na tabasamu zuri kabisa lisilo na chuki wala makasiriko
Kwa hio nichekelee?
 
Ninaomba kuwauliza wakuu maana nimekua nikisemwa semwa sana mpaka sasa kuna wakati nikikaa natamani kua navaa kofia tu muda wote.

Kikawaida nilivyo mimi nina komwe limetokea kwa mbele yaan inafika hatua watu hawaniiti tena jina langu nashangaa mtu ananiita tu komwe badala ya jina langu halisi au akiwa anamuelekeza mtu anamwambia nenda kwa yule pale mwenye komwe.

Sasa hili suala mimi silipendi maana hua ninachukia sana mtu kuniona mimi fala, kua na komwe haimaanishi mimi jina langu naitwa komwe.

Sasa wakuu kuna njia yoyote naweza nikaitumia ili nipunguze komwe au kuna namna gani naweza kufanya ukiondoa kuvaa kofia ili niweze kuficha komwe na nisionekane km nina komwe maana sasa naona naitwa jina tofauti na jina langu na sipendi kuitwa hivyo.

Nasubiria majibu yenu hapa chini.
This thread without a supporting photo or video of your komwe then it is useless.
 

Attachments

  • 20250405_201807.jpg
    20250405_201807.jpg
    66.3 KB · Views: 15
Why do you hate your appearance?
Yeah. Ther's no reason for that. Your appearance basically distinguishes u from the rest i.e You are unique. You should be the first to appreciate ur self appearance before the others do it for you.
 
Back
Top Bottom