Kennedy
Platinum Member
- Dec 28, 2011
- 62,832
- 77,037
Ama VETANenda Sido mkuu!
Ama VETANenda Sido mkuu!
Mungu hakosolewi
Hela ninazo mkuu ila haya mambo ya kuitana komwe wakati nina jina langu ndio yananichukiza mkuuTafuta hela,ukishazipata watu watakuja humu kutuuliza wafanye nini ili wawe na komwe.Mshukuru Mungu kwa kila jambo,alikuumba hivyo kwa sababu na hakuna anachokosea....
Najikubari mkuu sema kuna watu hawaachi yaan mfano juzi mtu anaongea mimi nasikia anamwambia mwenzie upande wa pili kwamba nakwamba ila usimwambie yule komwe kumbe mimi nawasikia,Ishi Maisha Yako Jikubali
Sawa asante sana mkuuKomwe, kipara sio kovu wala ugonjwa,, Kuna watu wanakomwe kias kwamba unaweza Sema sola ipo juani! Usiishi kwa kuogopa maneno ya watu, acha Waite watakavyo na jinsi ilivyo siku Zote Jina linalokataliwa zaidi ndio linalotumika zaidi,, jina lisikunyime Amani mzee wangu
Dawa ni moja tu.. kulikubali kuwa lipo hapo... Sio ugonjwa huo wala si kasoroNinaomba kuwauliza wakuu maana nimekua nikisemwa semwa sana mpaka sasa kuna wakati nikikaa natamani kua navaa kofia tu muda wote.
Kikawaida nilivyo mimi nina komwe limetokea kwa mbele yaan inafika hatua watu hawaniiti tena jina langu nashangaa mtu ananiita tu komwe badala ya jina langu halisi au akiwa anamuelekeza mtu anamwambia nenda kwa yule pale mwenye komwe.
Sasa hili suala mimi silipendi maana hua ninachukia sana mtu kuniona mimi fala, kua na komwe haimaanishi mimi jina langu naitwa komwe.
Sasa wakuu kuna njia yoyote naweza nikaitumia ili nipunguze komwe au kuna namna gani naweza kufanya ukiondoa kuvaa kofia ili niweze kuficha komwe na nisionekane km nina komwe maana sasa naona naitwa jina tofauti na jina langu na sipendi kuitwa hivyo.
Nasubiria majibu yenu hapa chini.
Wewe ni WA kike au kiume? Kama ni wakiume umepoteza sifa ya kuwa wakiumeNinaomba kuwauliza wakuu maana nimekua nikisemwa semwa sana mpaka sasa kuna wakati nikikaa natamani kua navaa kofia tu muda wote.
Kikawaida nilivyo mimi nina komwe limetokea kwa mbele yaan inafika hatua watu hawaniiti tena jina langu nashangaa mtu ananiita tu komwe badala ya jina langu halisi au akiwa anamuelekeza mtu anamwambia nenda kwa yule pale mwenye komwe.
Sasa hili suala mimi silipendi maana hua ninachukia sana mtu kuniona mimi fala, kua na komwe haimaanishi mimi jina langu naitwa komwe.
Sasa wakuu kuna njia yoyote naweza nikaitumia ili nipunguze komwe au kuna namna gani naweza kufanya ukiondoa kuvaa kofia ili niweze kuficha komwe na nisionekane km nina komwe maana sasa naona naitwa jina tofauti na jina langu na sipendi kuitwa hivyo.
Nasubiria majibu yenu hapa chini.
😂😂Bandika picha ya mwamposa hapo kwenye komwe
Shida moja ambayo unayo, ni kuyapa ubize masikio yako kusikiliza yasemwayo na watu... Acha kuichosha akili... Kuna mambo mengi muhimu ya kusikilizaNajikubari mkuu sema kuna watu hawaachi yaan mfano juzi mtu anaongea mimi nasikia anamwambia mwenzie upande wa pili kwamba nakwamba ila usimwambie yule komwe kumbe mimi nawasikia,
Mfano mwingine jana kuna mgeni mmoja alinitembelea sasa kwenye kuulizia ulizia jina watu wakawa wanachanganya akawaambia mtu ninaemtafuta ana komwe hivi ndio wakajua maana mtaa huo mwenye komwe ni mimi wakamwambia aaah yule mwenye komwe ebu nenda nyumba ile pale alipofika kwenye story za hapa na pale anasema alipotea ila ndio ananiambia kwamba nilipowaambia hivyo wakanipa uelekeo nikafika mpaka hapa