Kuna namna nyingine ya kupunguza komwe?

Kuna namna nyingine ya kupunguza komwe?

Shida moja ambayo unayo, ni kuyapa ubize masikio yako kusikiliza yasemwayo na watu... Acha kuichosha akili... Kuna mambo mengi muhimu ya kusikiliza
Hapa najifunza kitu mkuu ila tatizo ni kufanya mazoea ya jina hilo huku jina langu lenyewe linafutwa naanza kuitwa jina la utani, sasa mimi hua sipendi iwe hivyo
 
Komwe mjini musoma mkoa wa Mala wanaita Amigo. Kwaiyo una amigo😄😄🤣
 
Sifa gani tena hio hapo mkuu kwani kua na kichwa chenye komwe ni dhambi?
Tabia ya kujichunguza chunguza mwili waachie wanawake ukiendelea hivyo Kuna siku utakuja humu ukisema unahisi una kalio dogo unaomba ushauri wa kuongeza
 
Kwa hio wewe mkuu unashauri nini?
 
Hapa najifunza kitu mkuu ila tatizo ni kufanya mazoea ya jina hilo huku jina langu lenyewe linafutwa naanza kuitwa jina la utani, sasa mimi hua sipendi iwe hivyo
Kubali hilo jina... Mfano mimi kuna wakati nilikuwa naitwa bichwa bapa... Huwa naitika tu... Mambo yanaenda... Hii inafanya badala ya mtu kuona anakutania atawaza mara mbili na kuona anakupa ujiko... Anaweza acha kukuita komwe mwenyewe...

Wakikuita komwe wewe itika ukiwa na tabasamu zuri kabisa lisilo na chuki wala makasiriko
 
Ninaomba kuwauliza wakuu maana nimekua nikisemwa semwa sana mpaka sasa kuna wakati nikikaa natamani kua navaa kofia tu muda wote.

Kikawaida nilivyo mimi nina komwe limetokea kwa mbele yaan inafika hatua watu hawaniiti tena jina langu nashangaa mtu ananiita tu komwe badala ya jina langu halisi au akiwa anamuelekeza mtu anamwambia nenda kwa yule pale mwenye komwe.

Sasa hili suala mimi silipendi maana hua ninachukia sana mtu kuniona mimi fala, kua na komwe haimaanishi mimi jina langu naitwa komwe.

Sasa wakuu kuna njia yoyote naweza nikaitumia ili nipunguze komwe au kuna namna gani naweza kufanya ukiondoa kuvaa kofia ili niweze kuficha komwe na nisionekane km nina komwe maana sasa naona naitwa jina tofauti na jina langu na sipendi kuitwa hivyo.

Nasubiria majibu yenu hapa chini.
Mkuu unachekesha sana! Sasa unataka kupingana na uumbaji wa mungu? Jikubali shukru mungu kwa kukuumba vzr Kuna wenzio Wana vichwa viwili mtu mmoja...!

N.B kama una ubavu inatakiwa umshushie kipigo kikali sana mtu mmoja wa hapo mtaani aliezoea kukuita jina Hilo. Mtu huyo atatumika kama mfano na jina Hilo litakoma. Kama sio madharau wanawezaji kukuita komwe ilihali jina lako wanalijua?? Punguza unyonge.
 
Ninaomba kuwauliza wakuu maana nimekua nikisemwa semwa sana mpaka sasa kuna wakati nikikaa natamani kua navaa kofia tu muda wote.

Kikawaida nilivyo mimi nina komwe limetokea kwa mbele yaan inafika hatua watu hawaniiti tena jina langu nashangaa mtu ananiita tu komwe badala ya jina langu halisi au akiwa anamuelekeza mtu anamwambia nenda kwa yule pale mwenye komwe.

Sasa hili suala mimi silipendi maana hua ninachukia sana mtu kuniona mimi fala, kua na komwe haimaanishi mimi jina langu naitwa komwe.

Sasa wakuu kuna njia yoyote naweza nikaitumia ili nipunguze komwe au kuna namna gani naweza kufanya ukiondoa kuvaa kofia ili niweze kuficha komwe na nisionekane km nina komwe maana sasa naona naitwa jina tofauti na jina langu na sipendi kuitwa hivyo.

Nasubiria majibu yenu hapa chini.
Hukujizaa wala hukujiumba kwanini usiridhike na jinsi ulivyo!
 
Attachments

  • images (6).jpeg
    images (6).jpeg
    30 KB · Views: 19
Binadamu bana, sasa kama una komwe ukiitwa komwe kuna shida gani? Ni sawa na mtu mrefu kukataa kuitwa mrefu.
 
Nadhani veta wana technology ya kuyapunguza,wahi kule ukapate nsaada
 
Huna tofauti na mtu anayeuliza namna ya kukuza KIBAMIA chake, just jikubali ulivyo......pia mda mwingine jiongeze sawa?
 
Binadamu bana, sasa kama una komwe ukiitwa komwe kuna shida gani? Ni sawa na mtu mrefu kukataa kuitwa mrefu.
Yaani unamaanisha talu?
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
Back
Top Bottom