Kuna namna unaweza vaa watu wakakudharau, wakakuona una ushamba au utoto mwingi.

Kuna namna unaweza vaa watu wakakudharau, wakakuona una ushamba au utoto mwingi.

Kuna fashion... Acha zipite. Kuna mitindo au mambo yaache yapite. Ukiwa na umri wa kuanzia 30s na kuendelea unatakiwa ukue kiakili pia na kimtizamo.

Uvaaji flani unaweza kufanya watu wakuone haupo serious. Una ushamba mwingi au ulimbukeni. Mtu mzima kabisa unaweza vaa hivi? Ni utoto na ushamba.
View attachment 3598366
Au vile viboxer!
 
Unaweza ukafikri hiyo miwani ni ile mnagombania pale Manzese kumbe ni unyama mwingi kule mambele! Usijaji kwa kuangalia mwonekano!
 
Unaweza ukafikri hiyo miwani ni ile mnagombania pale Manzese kumbe ni nyamaza mwingi kule mambele! Usijaji kwa kuangalia mwonekano!
Usije kuwa wewe ndio mshamba hapo!
Hujajua kazi ya hiyo miwani. 😆
Mimi nimekubali kuwa mashamba aisee!Nieleweshwe kazi ya hiyo miwani mbali ya kurekebisha uonaji kulingana na mahitaji ya mwanga au vumbi.achilia mbali kuchomelea masufuria!
 
Wewe mwenye matumaini umewazidi nini hilo kundi?
1. Kwa sasa nipo China. Last week nlikuwa Egypt
2. Ninasafiri kwa manufaa ya Nchi na Serikali inatambua kila napokuwepo. Inanilipia. Tz nakuja mara moja moja kwa mwaka haizidi mara 5.
3. Sina shida ndogo ndogo naweza saidia mwenye njaa. Ingawa sijafikia hatua kuuuubwa. Ila nina watu wanaoniita Boss.
 
Kuna fashion... Acha zipite. Kuna mitindo au mambo yaache yapite. Ukiwa na umri wa kuanzia 30s na kuendelea unatakiwa ukue kiakili pia na kimtizamo.

Uvaaji flani unaweza kufanya watu wakuone haupo serious. Una ushamba mwingi au ulimbukeni. Mtu mzima kabisa unaweza vaa hivi? Ni utoto na ushamba.
View attachment 3598366
mtu mwenye pesa ana mbinu nyingi sana za kupumbaza maskini,

we cheki sasa,
watu wanajadili mavazi yake huku pesa za anaejadiliwa zikiwa zimetulia tuli nyumbani kwake na kwenye mabenki.

ama kwa hakika akili ndogo hujadili watu na akili kubwa hujadili masuala 🐒
 
1780226163101.jpeg
 
Back
Top Bottom