Kuna namna unaweza vaa watu wakakudharau, wakakuona una ushamba au utoto mwingi.

Kuna namna unaweza vaa watu wakakudharau, wakakuona una ushamba au utoto mwingi.

1. Kwa sasa nipo China. Last week nlikuwa Egypt
2. Ninasafiri kwa manufaa ya Nchi na Serikali inatambua kila napokuwepo. Inanilipia. Tz nakuja mara moja moja kwa mwaka haizidi mara 5.
3. Sina shida ndogo ndogo naweza saidia mwenye njaa. Ingawa sijafikia hatua kuuuubwa. Ila nina watu wanaoniita Boss.
Naomba aftatu tajiri🫴🏾
 
Koo leo linapokea sio kawaida kbsa mkuu wangu

I really hate hopes
Zimebomoe tu mkuu , mimi hapa nasinzia tu nimeshiba swala vibaya sana
Screenshot_2026-05-21_192931.jpg
 
Kuna fashion... Acha zipite. Kuna mitindo au mambo yaache yapite. Ukiwa na umri wa kuanzia 30s na kuendelea unatakiwa ukue kiakili pia na kimtizamo.

Uvaaji flani unaweza kufanya watu wakuone haupo serious. Una ushamba mwingi au ulimbukeni. Mtu mzima kabisa unaweza vaa hivi? Ni utoto na ushamba.
View attachment 3598366
😃 😀 😄 😁
 
Usipangie watu maisha ishi maisha yako#upo Sahihi
 
Back
Top Bottom