Kuna namna wanawake supportive kwenye mahusiano wamekuwa nadra kupatikana

Ukilinganisha mapenzi kutumia case study za namna hii, hata mpenzi wako utamuona hakufai kwa namna yoyote ile! Mambo usiyoyajua kiundani yaache kabisa..
Wewe ni zawadi gani kubwa umewahi kumpatia sharobalo wako huyo
 
Kuna mtu anatangulia lodge kwenda kuliwa lakini cha ajabu, analipiwa gharama zote za lodge lakini bado anasema hajatendewa vizuri.
 
Supportive partners wamekuwa adimu, ni kweli, na hiyo ni kwa sababu mahusiano mengi saivi yapo kimaslahi zaidi.
Unataka upewe support
Kwa sasabu gani πŸ˜€
Kwa hiyo afutatu uliyompa πŸ˜€( Joke)
 
Unataka upewe support
Kwa sasabu gani πŸ˜€
Kwa hiyo afutatu uliyompa πŸ˜€( Joke)
Nahisi wengi humu hamjamwelewa mtoa mada, support anayozungumzia sio msosi TU, au sio kwamba mtoa mada anataka slope, Kuna vitu vingine huenda ameona kwa huyo girlfriend wake ndo maana akaleta huu uzi, anaona girlfriend wake hachukulii serious mahusiano yao

Hapo unakuta demu ana demand pesa almost kila mara na favors k.v kumtuma mtoa mada dukani n.k..ila pisi hafanyi chochote kwa mtoa mada labda zaidi ya kutoa papuchi..

hapo lazma uwaze huyu mwanamke yupo serious na haya mahusiano au kajiegesha tu, maana unakuta effort ya kuendeleza relationship 98% inabebwa na mwanaume ShesRise_1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…