Poor Brain JF-Expert Member Joined Jul 5, 2019 Posts 28,865 Reaction score 58,677 Apr 15, 2026 #121 Vishu Mtata said: πππ hutaki kulelewa kijana? Click to expand... Kaka ulipotelea wapi au na wewe unalelewa namumama ahahha
Vishu Mtata said: πππ hutaki kulelewa kijana? Click to expand... Kaka ulipotelea wapi au na wewe unalelewa namumama ahahha
Peril22 JF-Expert Member Joined Apr 15, 2020 Posts 1,859 Reaction score 3,223 Apr 16, 2026 #122 Mwanamke kuwa mtoaji ni hulka anaweza akawa navyo asikuzingatie Kwa lolote pia anaweza kuwa Hana ila hicho kidogo alichobarikiwa akaonesha moyo wa kukusapoti. Nina ushahidi kwa pande zote.
Mwanamke kuwa mtoaji ni hulka anaweza akawa navyo asikuzingatie Kwa lolote pia anaweza kuwa Hana ila hicho kidogo alichobarikiwa akaonesha moyo wa kukusapoti. Nina ushahidi kwa pande zote.
baz kaiza JF-Expert Member Joined Jan 27, 2015 Posts 14,971 Reaction score 18,641 Apr 16, 2026 #123 Lamomy said: πΉπΉπΉ We nae acha uroho..!! Bila shaka wewe mpare? Yani mwanamke hujamuoa tayari unapigia ratiba zako za msosi kwao? Na bila aibu unakumbuka ex wako alivyokuwa anakuhudumia khaaaa..!! Click to expand... Kwani mwanamke kumuudumia mwanaume ni tatizo?
Lamomy said: πΉπΉπΉ We nae acha uroho..!! Bila shaka wewe mpare? Yani mwanamke hujamuoa tayari unapigia ratiba zako za msosi kwao? Na bila aibu unakumbuka ex wako alivyokuwa anakuhudumia khaaaa..!! Click to expand... Kwani mwanamke kumuudumia mwanaume ni tatizo?
Vishu Mtata JF-Expert Member Joined Dec 15, 2019 Posts 21,593 Reaction score 46,759 Apr 17, 2026 #124 Poor Brain said: Kaka ulipotelea wapi au na wewe unalelewa namumama ahahha Click to expand... Mimi ndo nalea wamama
Poor Brain said: Kaka ulipotelea wapi au na wewe unalelewa namumama ahahha Click to expand... Mimi ndo nalea wamama
G guest-1790917349 Guest Apr 19, 2026 #125 cocastic said: Mama mtumishi hukuniita jamani. Lol [emoji23][emoji23][emoji23] Click to expand... π€£π€£π€£tatizo uko songea Njoo mjini
cocastic said: Mama mtumishi hukuniita jamani. Lol [emoji23][emoji23][emoji23] Click to expand... π€£π€£π€£tatizo uko songea Njoo mjini
Poor Brain JF-Expert Member Joined Jul 5, 2019 Posts 28,865 Reaction score 58,677 Apr 19, 2026 #126 Vishu Mtata said: Mimi ndo nalea wamama Click to expand... Ahahahahahha