chiembe JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 16,859 Reaction score 28,112 Aug 4, 2024 #1 Nauliza tu, hasa baada ya kusikia nyimbo za Chidi Benzi, zimepigwa jana na leo, na matamashi haya are worth billions, na chidi anatembea kwa miguu hapo Dsm akiwa hana maisha
Nauliza tu, hasa baada ya kusikia nyimbo za Chidi Benzi, zimepigwa jana na leo, na matamashi haya are worth billions, na chidi anatembea kwa miguu hapo Dsm akiwa hana maisha
edon66 JF-Expert Member Joined Feb 11, 2023 Posts 2,907 Reaction score 9,135 Aug 4, 2024 #2 Kibongo bongo sidhani km anaambulia chcht Kwa maana hata hzo wanazoingiza cku km ya Leo Bado Kwa mafisi haziwatoshiii...
Kibongo bongo sidhani km anaambulia chcht Kwa maana hata hzo wanazoingiza cku km ya Leo Bado Kwa mafisi haziwatoshiii...
Mr kenice JF-Expert Member Joined Mar 15, 2022 Posts 4,260 Reaction score 7,033 Aug 4, 2024 #3 Hakuna namna atafaidika.
chiembe JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 16,859 Reaction score 28,112 Aug 4, 2024 Thread starter #4 Mr kenice said: Hakuna namna atafaidika. Click to expand... Eeehh
Paroco JF-Expert Member Joined Dec 24, 2017 Posts 2,389 Reaction score 10,595 Aug 4, 2024 #5 Hapo dawa ni kuwauliza tuu tusipige ramuli chonganishi hapa.