Kuna namna wasanii wanafaidika nyimbo zao kupigwa katika Simba Day na Yanga Day? Matamasha yanaingiza pesa nyingi

Kuna namna wasanii wanafaidika nyimbo zao kupigwa katika Simba Day na Yanga Day? Matamasha yanaingiza pesa nyingi

Kibongo bongo sidhani km anaambulia chcht Kwa maana hata hzo wanazoingiza cku km ya Leo Bado Kwa mafisi haziwatoshiii...
 
Hapo dawa ni kuwauliza tuu tusipige ramuli chonganishi hapa.
 
Back
Top Bottom