Kuna namna yale maeneo ya dada zetu yamekua sugu sana hasa hawa wa buku mbili

🤣 ila bado kuna mwamba mmoja hivi manipulative anaweza kutokea, kama sio mwamba basi "shosti ake binti ako" ndo atakuwa manipulative
Hakuna kitu kama hicho kwanza manyokaa wajinga wajinga , ni ngumu sana kuja kukutana nao kwenye zone yake, mpaka sasa nimemtengenezea mazingira hayupo kwenye zone ya vilaza
 
kadri watu wanavyozidi kwenda juu (from the bottom to the top), huwa kuna namna unakutana na watu ambao utotoni pengine ingekuwa ngumu kukutana nao sabb ya circle ya life.

Pia kuna viwanja na maeneo ya kujidai, ambapo kuna hao the so called "nyokaa wajinga wajinga" sometimes wanafika viwanja hivyo.

Internet (social nets na content creation) zimewakutanisha pia watu ambao normally wasingemeet due to the huge difference ya economic status zao.
 
Kivyovyote ila kwa hili wimbi la vijana wa hovyo baba ukimjenga binti yako anakua vizuri sana,nimeshuhudia kwa mzee wangu na dada zangu bwashee , hivyo naongea kwa uzoefu.
 
Back
Top Bottom