kadri watu wanavyozidi kwenda juu (from the bottom to the top), huwa kuna namna unakutana na watu ambao utotoni pengine ingekuwa ngumu kukutana nao sabb ya circle ya life.
Pia kuna viwanja na maeneo ya kujidai, ambapo kuna hao the so called "nyokaa wajinga wajinga" sometimes wanafika viwanja hivyo.
Internet (social nets na content creation) zimewakutanisha pia watu ambao normally wasingemeet due to the huge difference ya economic status zao.