Usiseme Africa, Nchi nyingi tu za Ulaya hawakuti Irani na hiyo Korea.Kuna nchi Afrika inazifikia Iran na Korea Kaskazini nchi zilizoishi kwenye vikwazo vya kimataifa kwa muda katika maendeleo ya sayansi na teknolojia ?
Kwa hio kwenye hio list yako Kizimkazi haipo inayosafirisha Tan 6.6 za Cocaine ikosekane kweli hapo?Usiseme Africa, Nchi nyingi tu za Ulaya hiwakuti Irani na hiyo Korea.
Kwa wale ambao hawajatembea, niwajuze tu kuwa kuna Nchi kadhaa za kiafrica hazina tofauti na ulaya zikiwemo
Misri, Tunisia, Morocco, Algeria na hata Libya kabla ya kuvamiwa na mamluki na baadhi ya visiwa....
Nigeria, na Africa ya kusini wapo mbali ila kuna maeneo bado ni masikini....
Kababake wallah robot la bushman the God's must be CrazyIran sidhani kama wana uwezo wa kutengeneza roboti la AI kama lile lilienda bungeni linaitwa Yunis.
Irani ndio mzalishaji mkubwa wa Drone za kivita ukanda wa Asia....na ndio sababu kwa kiasi kikubwa kila waliko piga wametumia droneIran sidhani kama wana uwezo wa kutengeneza roboti la AI kama lile lilienda bungeni linaitwa Yunis.
Hata kabla ya mapinduzi ya mwaka 1979 na vikwazo Iran tayari ilikuwa imepiga hatua kubwa katika teknolojia, ilikuwa tayari hadi na mradi wa nuclear.Kuna nchi Afrika inazifikia Iran na Korea Kaskazini nchi zilizoishi kwenye vikwazo vya kimataifa kwa muda katika maendeleo ya sayansi na teknolojia ?
Huu uongo unaurudia kila siku na kila comment yako nikiona naweka data zangu zile zile.Hata kabla ya mapinduzi ya mwaka 1979 na vikwazo Iran tayari ilikuwa imepiga hatua kubwa katika teknolojia, ilikuwa tayari hadi na mradi wa nuclear.
Acha propaganda na porojo zako, The White Revolution ya Shah iliibadilisha sana Iran. Tatizo kubwa lilikuwa siasa, ukandamizaji wa wapinzani wake(hasa wahafidhina) na wahafidhina wa kidini ambao hawakupendelea mabadiliko ya kasi ya mrengo wa magharibi yaliyokuwa yanaendelea kwa kasi Iran chini ya utawala wake na hao ndio walioutumia mwanya wa migawanyiko wa kijamii kumuingiza Ayatollah katika mamlaka kwa mlango wa nyuma(Kumbuka mapinduzi ya kiraia ya Iran hayakuwa hasa ya Kiislamu bali wahafidhina wachache wa kidini walijipanga vyema katikati ya machafuko na mkanganyiko wakausimika utawala wa Kiislamu wa Ayatollah).Huu uongo unaurudia kila siku na kila comment yako nikiona naweka data zangu zile zile.
Kabla ya mapinduzi ya Iran walipitwa hadi na Tanzania
1. Nusu nzima ya Nchi hawakujua kusoma na kuandika miaka ya 70 ni Wairan Asilimia 37 mpaka 47 Tu ndio walijua kusoma na kuandika, unaitaje hii ni hatua kubwa? For comparison Tanzania miaka hio tulikua na literacy rate baina ya 80 na 90.
2. Nusu ya Nchi walikua kwenye umasikini wa kutupwa Asilimia 47 walikua Chini ya UN poverty line,
3. Wairan walikua wanakimbia nchi kwenda kusoma nje, hasa vyuo sababu kwao hakukua na vyuo vyao Ku wa accommodate ni kama Asilimia 10 Tu ndio walienda vyuoni, ukiangalia data za Wamarekani Wairan walioenda kusoma waliongezeka toka 5000 Hadi 50,000 na hawarudi hawa, so nchi ikawa top cream zote zinachukuliwa.
4. Hio project ya Nyuklia ilikua ni ya serikali waliyopewa na Marekani, kuanzia Research zimefanyika Marekani mpaka Reactor imetoka Marekani nothing impressive kuwapa credit. Tofauti na sasa ambapo kila kitu wanafanya wenyewe.
Shah aliweza kuendeleza Tu kakundi kake Ka watu wachache Ila nchi nzima ilikua kwenye dimbwi la ujinga na umasikini hawakuwa na maendeleo yoyote ya kisayansi kuzipita Nchi nyingi za Africa.
Shah alikuwa mbinafsi, anaoga maziwa.Acha propaganda na porojo zako, The White Revolution ya Shah iliibadilisha sana Iran. Tatizo kubwa lilikuwa siasa, ukandamizaji wa wapinzani wake(hasa wahafidhina) na wahafidhina wa kidini ambao hawakupendelea mabadiliko ya kasi ya mrengo wa magharibi yaliyokuwa yanaendelea kwa kasi Iran chini ya utawala wake na hao ndio walioutumia mwanya wa migawanyiko wa kijamii kumuingiza Ayatollah katika mamlaka kwa mlango wa nyuma(Kumbuka mapinduzi ya kiraia ya Iran hayakuwa hasa ya Kiislamu bali wahafidhina wachache wa kidini walijipanga vyema katikati ya machafuko na mkanganyiko wakausimika utawala wa Kiislamu wa Ayatollah).
Falme za Saudia, Qatar, Kuwait, Bahrain na UAE sio fisadi na puppet wa US? Hazina maendeleo??Shah alikuwa mbinafsi, anaoga maziwa.
Shah alikuwa hajali changamoto za wananchi, alikuwa fisadi na puppet wa nchi za magharibi.
Hazina uhuru, wanaamuliwa chochote na Israel pamoja na US...Falme za Saudia, Qatar, Kuwait, Bahrain na UAE sio fisadi na puppet wa US? Hazina maendeleo??
Hizo story za Shah kuogea Maziwa ni ujinga mtupu.