Kuna nchi Afrika inazifikia Iran, North Korea kwenye maendeleo ya kiteknolojia?

Acha propaganda na porojo zako, The White Revolution ya Shah iliibadilisha sana Iran. Tatizo kubwa lilikuwa siasa, ukandamizaji wa wapinzani wake(hasa wahafidhina) na wahafidhina wa kidini ambao hawakupendelea mabadiliko ya kasi ya mrengo wa magharibi yaliyokuwa yanaendelea kwa kasi Iran chini ya utawala wake na hao ndio walioutumia mwanya wa migawanyiko wa kijamii kumuingiza Ayatollah katika mamlaka kwa mlango wa nyuma(Kumbuka mapinduzi ya kiraia ya Iran hayakuwa hasa ya Kiislamu bali wahafidhina wachache wa kidini walijipanga vyema katikati ya machafuko na mkanganyiko wakausimika utawala wa Kiislamu wa Ayatollah).
Leta vishiria vyoyote vile walikua juu kitech ama maendeleo yoyote, leta data na sio maneno matupu, haiwezekani kamwe useme ulikua na maendeleo Hali ya kuwa zaidi ya nusu ya wananchi hawajui kusoma na kuandika.
 
Falme za Saudia, Qatar, Kuwait, Bahrain na UAE sio fisadi na puppet wa US? Hazina maendeleo??
Hizo story za Shah kuogea Maziwa ni ujinga mtupu.
Pamoja na haya yote mapinduzi ya Iran ya mwaka 1979 hayakuwa kwa ajili ya kuweka utawala wa kidini wa Ayatollah bali kwa ajili ya demokrasia na kuboresha zaidi maslahi ya uchumi ya watu wa Iran, kulikuwa na makundi mengi yaliyowezesha mapinduzi kufanyika ambayo ni securalist, Marxists, liberals, nationalists na islamists wote wakisema wanataka demokrasia, maendeleo na haki zaidi za rasilimali zao. Kilichotokea baada ya mapinduzi ni Wahuni Islamists kuwarubuni wengine na kuyateka mapinduzi kwa ahadi kwamba wangetimiza yote waliyopigania pamoja wakati wa mapinduzi ndipo wakamleta huyo Ayatollah wa kwanza kutoka Ufaransa alipokuwa akiishi mtu ambaye alikuwa haishi hata ndani ya nchi wakati wa harakati za mapinduz na wakaanzisha utawala wao mpya wa udikteta wa kidini.
Kwani Iran hakuna rais, si wanafanya uchaguzi.. hio sio demokrasia..
kingine wananchi walishirikishwa kwenye hayo maamuzi kwa kila hatua na kura zilipigwa.

Mbona Saudia , Qatar hakuna hio demokrasia na ndio mashoga zake na USA na ISrael,mbona hao US hawaendi kupiga domo kwamba hakuna demokrasia, Saudia mfalme anakufa anachukua mwanae... Qatar the same na UAE...

Iran wana rais wananchi wanapiga kura...

Dah! nahisi hamfuatiliii vitu kwa undani..
 
Leta vishiria vyoyote vile walikua juu kitech ama maendeleo yoyote, leta data na sio maneno matupu, haiwezekani kamwe useme ulikua na maendeleo Hali ya kuwa zaidi ya nusu ya wananchi hawajui kusoma na kuandika.
Swali lako limekaa hovyo
Walikuwa juu kitech kuliko nani au kuliko wakati gani? Na kwa nini tuangalie teknolojia tu hasa ya utengenezaji silaha kama ndio ubora wa nchi?? Ni upumbavu kufikiria Korea Kaskazini, Pakistan na Iran ni nchi Bora kwa sababu zinaweza kutengeneza silaha za nuclear

Kama unataka ulinganisho Iran ya 1960's na 1970's ilikuwa na maendeleo makubwa au la linganisha nyakati linganisha na nchi nyingine mfano Korea Kusini ya wakati huo na sasa n.k
 
Kwani Iran hakuna rais, si wanafanya uchaguzi.. hio sio demokrasia..
kingine wananchi walishirikishwa kwenye hayo maamuzi kwa kila hatua na kura zilipigwa.

Mbona Saudia , Qatar hakuna hio demokrasia na ndio mashoga zake na USA na ISrael,mbona hao US hawaendi kupiga domo kwamba hakuna demokrasia, Saudia mfalme anakufa anachukua mwanae... Qatar the same na UAE...

Iran wana rais wananchi wanapiga kura...

Dah! nahisi hamfuatiliii vitu kwa undani..
Kuwa na rais na kufanya uchaguzi tu sio kigezo cha demokrasia, Kama hiyo ndio demokrasia basi hata Tanzania, na Uganda Kuna demokrasia.
 
Swali lako limekaa hovyo
Walikuwa juu kitech kuliko nani au kuliko wakati gani? Na kwa nini tuangalie teknolojia tu hasa ya utengenezaji silaha kama ndio ubora wa nchi?? Ni upumbavu kufikiria Korea Kaskazini, Pakistan na Iran ni nchi Bora kwa sababu zinaweza kutengeneza silaha za nuclear

Kama unataka ulinganisho Iran ya 1960's na 1970's ilikuwa na maendeleo makubwa au la linganisha nyakati linganisha na nchi nyingine mfano Korea Kusini ya wakati huo na sasa n.k
Iran sio Bora sababu ya Nyuklia Bali ni Bora sasa sababu imetoka from no where mpaka kuwa ndani ya Top 20 nchi zenye contribution kubwa kisayansi sasa. Contribution Yao ipo kuanzia kwenye Afya, Engineering, Nano technology, IT na Branch nyengine za Elimu.

Kuna sub fields wanasayansi wao Wana rank no 1 Duniani kote, japo wao si Nchi tajiri wamefanikiwa kusambaza Elimu na Afya vijiji vyote kwa kutumia njia mpya ambazo hazijawahi tumika kokote, to the point Hadi wanasayansi wa Marekani wanakwenda kujifunza namna ya kutoa huduma vijijini. Hospitali zao za kutembea ni among the best Duniani.

Walikua navyo hivyo vitu wakati wa Shah? No walikua busy kuchimva mafuta kumpa USA wakati nchi inanuka ujinga na Umasikini.
 
Kuwa na rais na kufanya uchaguzi tu sio kigezo cha demokrasia, Kama hiyo ndio demokrasia basi hata Tanzania, na Uganda Kuna demokrasia.
Saudia , Qatar, UAE kuna demokrasia? mbona wana uhusiano mzuri na US/Israel?

Mohammad Reza Pahlavi ambaye alikuwa shah uongozi wao ulikuwa ni wa kurithishana, na alikuwa kibaraka mtiifu wa US.. hio democracy unayosema ilikuwa wapi? baada ya mapinduzi US anachukia kuona puppet wake kakimbizwa..

Iran sasa wananchi wanachagua rais, unataka kitu gani zaidi ya hapo?
 
Iran sio Bora sababu ya Nyuklia Bali ni Bora sasa sababu imetoka from no where mpaka kuwa ndani ya Top 20 nchi zenye contribution kubwa kisayansi sasa. Contribution Yao ipo kuanzia kwenye Afya, Engineering, Nano technology, IT na Branch nyengine za Elimu.

Kuna sub fields wanasayansi wao Wana rank no 1 Duniani kote, japo wao si Nchi tajiri wamefanikiwa kusambaza Elimu na Afya vijiji vyote kwa kutumia njia mpya ambazo hazijawahi tumika kokote, to the point Hadi wanasayansi wa Marekani wanakwenda kujifunza namna ya kutoa huduma vijijini. Hospitali zao za kutembea ni among the best Duniani.

Walikua navyo hivyo vitu wakati wa Shah? No walikua busy kuchimva mafuta kumpa USA wakati nchi inanuka ujinga na Umasikini.
Shah alikuwa dictator katili, huyu jamaa hajui anaongea kitu gani, na watu kama hawa ni vyema kuwapa elimu.
 
Aliyeondolewa alikuwa dikteta katili zaidi ya Shah na ameua raia wake wengi zaidi ya Shah.
 
Iran kuna synagogues za wayahudi za kuabudu, kuna makanisa mamia.

Kama Ayatollah angekuwa gaidi angekuwa analipua hayo makanisa na synagogues... au angepiga marafuku wakristo nchini mwake.

Ayatollah angekuwa gaidi angeruhusu Iran iwe na nuclear warhead..

Unazungumziaje Netanyahu amabe ameua almost 70K palestinians na ICC imetoa warranty dhidi yake?

Hebu niambie ugaidi wa Ayatollah ni upi?
 
🔥🔥🔥
UNESCO Condemns U.S.-Israel Girls' School Bombing that Killed 160UNESCO condemned the U.S.-Israeli missile strike on primary school, calling it a grave violation of international humanitarian law protecting schools.
kQTKaT9u
 
Iran kuna synagogues za wayahudi za kuabudu, kuna makanisa mamia.

Kama Ayatollah angekuwa gaidi angekuwa analipua hayo makanisa na synagogues... au angepiga marafuku wakristo nchini mwake.

Ayatollah angekuwa gaidi angeruhusu Iran iwe na nuclear warhead..

Unazungumziaje Netanyahu amabe ameua almost 70K palestinians na ICC imetoa warranty dhidi yake?

Hebu niambie ugaidi wa Ayatollah ni upi?
Wote Netanyahu na Ayatollah na majeshi yao ni magaidi.
 
Back
Top Bottom