Kuna nchi ukimpeleka mtoto kusoma chuo utajuta

"Hizo mamy am going to school" wala sio sababu chief...watoto wrtu wengi tu wanasoma hizo shule ila malez ya kuwapenda saanaaaa watoto leo hii ndio shida.

Dakika hii niko jamii forum nachat yf yuko town ila dogo ndio yuko jikon saa hiz anapika ..hapo kashafanya home work na nguo za shule kafua zake n za wadogo zake..na yuko shule hiz hiz za kileo 10 years old...

Malez tu ndio shida..leo mtoto kama vile kesho atabaki yatima...lakin pia tuwaombee sana watoto..malezi ni changamoto sana dunia ya sasa tume dedicate time sana kutafuta pesa tumeacha jukum la msingi...

The traditional african ways of parenting are the best.
 
Mm mtoto WA mjomba alipelekwa China hajamaliza masomo mjomba analalamika Tu wazazi wengi wanaisigi wanalogwa
 
Siyo single parenting,
Tuna ulimbukeni Fulani wa kulea hawa kina Junior
Nikiangalia Mie bila ya wazazi kunicharaza sijui hata kama ningekuwepo nilivvyo hivi!

Na wengi iwe single parenting au duo. Kama mtoto humshepu, humpi majukumu, humuwajibishi at earliest age. Basi ni suala la muda Tu, itakuwa mzigo kwako!

Hongera kwa makuzi, Mkijipanga mkakubaliana mnaweza! Ila mkitegemea beki 3, ni janga!
 

Siyo huko tu, hata Tanzania tu mtoto akitoka kijijini kwenda kusoma UD ambapo hana ndugu wa karibu, mara nyingi wengi wanabweteka na kusombwa na ulimbukeni wa mjini.

Nje ya nchi ndo usiseme kabisaaaaaa. No pori kwasababu hakuna mtu anamind unachokifanya kwa hoja ya kwamba mtu mzima hapangiwi kumbe mengi wanayokutana nayo ni mageni hivyo vijana wana abuse ule uhuru na kuishia kuzama kwenye ulimbukeni mbaya sana.

Wengine wanajiunga na makundi yasiyo faa na haya yote yanaathiri malengo ya safari yao ya elimu.

Out of frustration, na disappointments, wengi huishia kutumia madawa ya kulevya na hata kushindwa kurudi nyumbani kwa aibu au kushindwa kimaisha.

Kumpeleka mtoto kusoma nje kunahitaji maandalizi makubwa kisaikolojia la sivyo ni uwekezaji wenye risk kubwa sana. Japo umri mzuri wa kwenda nje ndo ujana.
 
tatizo haliwez kuwa mtoto kusoma chuo cha nje ya nchi,,,iyo inategemea uyo dogo mwenyewe kama anajielewa au ndovile tena.

nilisoma mkoani shule za uko ndanindani. ile shule ilijaa watoto wengi manunda, wengi wakijinasibu kutoka familia bora na hawa wengi wao walikuwa wa kutoka dar. utakuta dogo ile asbh nyie mnajipanga muingie skuli yy anachomekea anaingia kitaa na hapo unakuta hakuna mzazi wala mlezi wa kufatilia.

wazaz wanatuma ada shuleni lakini unakuta hawafatilii maendeleo ya mtoto shuleni mwisho wa watu hawa unafurahisha sana maana uzuri wa shule haidanganyi.
 
Ni nzurii mmeweza cz anajifunza maisha

japo m'balance kidogo asije chukia maisha cz kaanza ukubwa mapema

Msisahau bado ni mtoto kukosea hapa na pale isiwe kesi
Hio yuko darasa la 4/5?
 
[emoji4][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] nothing goes for nothing
 
Kweli kabisa, yani kuna mama mumewe alisomea Russia...

Msomi mzuri tu ila alikuwa tungi mtu...

Figo zikafeli...akaanza kubadilika rangi mwilini

Tushamfukia...

Mama kabaki mjane...
Russia ni habari nyingine mkuu
Vodka zimeharibu vijana wengi Sana waliobahatika kusoma
Huko wengi wazee wa tungi
 
Ni nzurii mmeweza cz anajifunza maisha

japo m'balance kidogo asije chukia maisha cz kaanza ukubwa mapema

Msisahau bado ni mtoto kukosea hapa na pale isiwe kesi
Hio yuko darasa la 4/5?
Very true..kuna muda unawapa uhuru wao kama watoto wafanye yao not all the time unawa tight..yuko class 6.
 
Hongera kwa hilooo!mi nimeleta house girl juzi kwa kua wako madarasa ya mithani wote Ila mwakani dada anaondoka watakua boarding wengine std 5 mziki ule ule una njaa pika mwenyewe
 
Ahsante umemaliza,Mimi Kuna siku wanangu mmerudi nakuta hawajaosha vyombo dada yao mkubwa kapika wao wamekaa tu,mda wa chakula Cha usiku kulikua na vifuu nikawaambia hizi kwa leo ndo sahani zenu,huwaga siongei Sanaa nkichoka but actions tu!waliomba radhi na waliosha vyombo usiku halikujitokeza Tena lile tukio!!

Mi sichapi Sanaa Ila vitendo tu!adhabu kuwapunguzia zawadi n.k
 
Labda aliona mama yake anateseka mno
 
Ku
Kuna jamaa alipelekwa hapo tu Kenya hajatoboa akarudi Arusha
 
Kuna style nyingi za kulea, zinazoleta matokeo. Mimi nilikuwa mtukutu, bright, hyper Kwa kweli kiboko kilikuwa kinanituliza, nilikuwa nafanya tu wala sifikiriii.

Kiboko kilikuwa kinanifikirizha. Najikuta vinginevyo sifanyi!
Mama ndiyo alikuwa anatoa kibano! Mdingi alikuwa akichimba biti!

Age 10-11, nikawa nimejielewa fimbo za nyumbani zikaisha! Nafikiri na shule kuwa serious
 
Russia sijui kuna nini hata madajtari waliosoma huko ni vituko sana.

Hua inashangaza sana wengi wakienda Russia inakua hivo nawafaham madocta watatu wawil walevi kupindukia alisalimika mmoja tu wakike ndio sio mlevi but wote waligraduate!Kunani Russia? #Msongo wa mawazo, upweke, ubaguzi kupeleka mtu kutumia vilev vikali au nini?
 
Kweli kabisa, yani kuna mama mumewe alisomea Russia...

Msomi mzuri tu ila alikuwa tungi mtu...

Figo zikafeli...akaanza kubadilika rangi mwilini

Tushamfukia...

Mama kabaki mjane...
... wengi walioenda Russia hawajawahi kurudi binadamu kamili; wanarudigi nusu mtu, nusu debris.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…