Rabonn
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 5,789
- 11,106
"Hizo mamy am going to school" wala sio sababu chief...watoto wrtu wengi tu wanasoma hizo shule ila malez ya kuwapenda saanaaaa watoto leo hii ndio shida.Kuna mshikaji amepanga juzi kati tu apa kaa miez mitatu ishapita ..nnapokaa Mimi Sasa tumeanza kuzoeana baada ya kuona life langu ..Basi akanifuata mzee kafunguka Yani hajui kitu Zaid ya kupika chai na kuchemsha mayai tu ..anakula vibandani umo ..Ni wale mamy am going to school..
Basi anataka nimfundishe angalau kupika ..nimempanga atafute angalau 150k. Sifanyi kazi za bure labda arudi kwa maza ake akamfundishe😂😂😂
Dakika hii niko jamii forum nachat yf yuko town ila dogo ndio yuko jikon saa hiz anapika ..hapo kashafanya home work na nguo za shule kafua zake n za wadogo zake..na yuko shule hiz hiz za kileo 10 years old...
Malez tu ndio shida..leo mtoto kama vile kesho atabaki yatima...lakin pia tuwaombee sana watoto..malezi ni changamoto sana dunia ya sasa tume dedicate time sana kutafuta pesa tumeacha jukum la msingi...
The traditional african ways of parenting are the best.