Kuna nchi ukimpeleka mtoto kusoma chuo utajuta

Kuna nchi ukimpeleka mtoto kusoma chuo utajuta

Hongera kwa hilooo!mi nimeleta house girl juzi kwa kua wako madarasa ya mithani wote Ila mwakani dada anaondoka watakua boarding wengine std 5 mziki ule ule una njaa pika mwenyewe
Hii imekaaje ukimuondosha huyo HG unafagia uwanja/kupika/kudeki mwenyewe au inakuwaje mambo ya house keeping hapo home?
 
Kwaiyo wakuu tumekubalianaje TUNAWAPELEKA au HATUWAPELEKI?maana muda wa usajili unaelekea mwishomwisho wengine tunataka kufanya maamuzi mapema
 
Hii imekaaje ukimuondosha huyo HG unafagia uwanja/kupika/kudeki mwenyewe au inakuwaje mambo ya house keeping hapo home?
Mi mwenyewe nasoma nowadays na Niko tight Ila enzi Niko tu kazini,mbona nilikua nafanya mwenyewe vyote
 
Hongera kwa hilooo!mi nimeleta house girl juzi kwa kua wako madarasa ya mithani wote Ila mwakani dada anaondoka watakua boarding wengine std 5 mziki ule ule una njaa pika mwenyewe
Hahahaja kumbe wamama mabandidu tupo wengi,mm hapa nishapiga simi wakimaliza homework wafanye usafi chumban kwao wafunge na neti kabisaa wapulize dawa,wamwagilie bustan wengne wakasafishe njee wakimaliza saa12 jioni wawe bafuni kuogaa,,mtoto mzembe kwangu atakimbia
 
Kwanza siwezi Lea mtoto wa mtu maana ntaambiwa namtesa hawa kina junia junia hawa kwangu noo!
Yaani mi wanajua shoo zangu sinaga ujinga haka kadogo kako la nne sasa nilivoleta dada alifurahiii sijapata ona apumzike kuosha vyombo yaani kwa kua tu anachelewa kurudi shule Ila akimaliza mtihani kazi moja
 
Mafanikio MO
Yupo dogo mmoja anaendesha clearing & forwarding kibingwa sasa. Na wana meli ndogo zinazo shuttle mizigo Dar Zanzibar!
Yupo communications manager Fulani alikuwa migodini sasa yupo kwenye mafuta!
Yupo Waziri wa Stima!
Wapo watu Gates foundation!
Wapo wengi balozi nyingi Tu!

Mafanikio yapo! Ila ukimuangalia Le Mutuz, hupeleki mtoto nje!
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna mtoto alienda China akiwa na maadili yote akarudi bangi mtu...

Alafu wa kike...

Kipindi cha mgomo wa madaktari alikuwa jina la juu kabisa...
Lakini kaupata udaktari au sivyo?
 
Wengi wao wanaponzwaga na ulimbukeni pamoja na uhuru uliopitiliza
 
Yaani mtihani. Kuna ile mtoto unafanya machafu vile upo mbali na wazazi ila ukirudi nyumbani upo kama kondoo lakini yeye hakuficha chochote kuanzia mavazi nywele yan ovyo ovyo. Mtoto anarudi utasema kuna msiba nyumban kumbe mtoto katoka canada. Tunasubir arudi tena sijui atakuja na hali gani kwani baada ya kuambiwa atabaki tz alitishia kujiua hvyo imebidi arudishwe huko akapotee mazima
Wangemuacha ajiue tu, ili wamzike waone kaburi kuliko kwenda huko mazima.
 
Back
Top Bottom