Marumeso
JF-Expert Member
- Oct 3, 2009
- 1,410
- 1,325
Hii imekaaje ukimuondosha huyo HG unafagia uwanja/kupika/kudeki mwenyewe au inakuwaje mambo ya house keeping hapo home?Hongera kwa hilooo!mi nimeleta house girl juzi kwa kua wako madarasa ya mithani wote Ila mwakani dada anaondoka watakua boarding wengine std 5 mziki ule ule una njaa pika mwenyewe