Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
UongoKila ukoo kuna mgonjwa, hivyo atuchekani
UnachekeshaUongo
Zipo TACAIDS.Hizo data nazitoa wapi
Ugonjwa ni siri ila kila familia possibility ya kuwa na MVIU ni kubwa.Kila ukoo kuna mgonjwa, hivyo atuchekani
Kwamba kila Ukoo?Zipo TACAIDS.
nia yao ni niniBrother Daktari, TEETH wao ni wambeya tu hawana habari wakishajua umeathirika Wana kutangaza Kila sehemu unayoenda.
Nina jamaa yangu Kila anapoenda meseji lazima ziingie ukizisoma unakuta ikimtangaza ana UKIMWI ndiyo kama Yale ya mtangazaji maarufu wa Mawingu radio mnyakyusa Fulani hivi mcheshi ambaye kwa Sasa ni Marehemu Kila alipokuwa anaenda katika shughuli zake za MC, lazima meseji ya TEETH iingie kumtangaza Kwamba anaishi na VVU
Ana mke?Kujitoa ufahamu mtandaoni kunafanya mtu unacost familia yako nzima.
Hapo sasa mkewe kila anapopita wanawake watabinyana kua kaathirika.
Anaye na watoto, wa mwisho ana miezi miwiliAna mke?
Kwani hao ndio wamiliki?Story za vijiweni kabisa,eti Diamond na Alikiba wameungua😆
N-NyetoNi kweli mkuu ,ABC ni muhimu sana katika mapambano ya VVU.
A - Abstinence
B - Be Faithful
C -Condomize
Kwani source ya ugomvi wao ilianzia wapi?Alionywa na Cherry mapema ila akajaa kwenye mfumo ,akapigwa SHOTI.
Mgonjwa wa virusi vya ukimwiMVIU ni nn wasee 🤔
Nina marafiki zangu ambao ni Madaktari wa Tiba za Binadamu, nikikaa nao kwenye viti virefu wananiambiaga mastaa wengi wa Bongo wameathirika kama hao wawili wakubwa wanazomiliki radio nchini, pamoja na yule muuza nguo maarufu ambaye kwa sasa anafanya na betting, pamoja na madawa, nk
Ukweli ni Kwamba Hawa mastaa wanaishi na ngwengwe na wanausambaza makusudi kwa wadada wanaowashobokea
Nilisikia TEETH huwa Wana namna ya kuwashughulikia watu wanaousambaza kwa makusudi kwa kuwaua kimya kimya bila hata watu kuhisi chochote au kutambua lolote kama enzi za wale wanenguaji kina Aisha, Diana, Lilian, n.k. na yule Banza JIWE, etc
Bongo ukibainika umeathirika na unausambaza, basi wewe jua tayari TEETH watakufuatilia hadi wakupate hadi wakuone kweli Kwamba una usambaza mwishowe lazima wakumalize kwa kukuwekea sumu ya kukumaliza kimya kimya
Dotto ana mdomo kama demu sasa kaingia miziki ya demu mwenzie...Kiufupi kujibizana na mwanamke lazima atakuvua nguo.Nimeingia kwenye page yake aisee kampopoa dotto kinoma.
Maisha ya mitandaoni haya jinga sana
Muathirika wa Virusi vya UkimwiMVIU ni nn wasee 🤔
banza stone hakufa ghafla
aliumwa mda sanaa
mkilewa mnadanganyana sana