Kuna nini kati ya CHADEMA, Marekani, Ujerumani, Ubelgiji, Amnesty International na Kenya dhidi ya Usalama wa Tanzania?

Kwa taarifa yako Lissu alitaka kujificha ubalozi wa USA walipomkatalia akaenda Ujerumani. Hata huko Germany nahisi, sina uhakika, ilikuwa rahisi kum-delelete alipowaambia tayari ana tiketi ya kwenda Belgium na fasta fasta wakamwondoa kabla issues za viti maalum hajalimaliza
 
Hakuna usalama Tanzania hii ni nchi ya laana...... Ngoja tupigwe kila kona hadi watoto wa dada na kina mayanga waelewe maana ya uchumi wa kato feki
 
Mkiendelea na ujinga huu mtabakia na China na Burundi
 

Mabalozi wametoa wapi mamlaka ya kufanya walichofanya?

Hivi tuna serikali na vyombo vya dola nchi hii? je, sisi ni nchi huru?
 
Nchi imekuwa kama Somalia.
 
Hao wote ni wale ukisoma Scramble and partition of Afrika utawakuta.
Ukizungimzia migogoro ya Afrika utawakuta hao.

Ila Kwetu wakijitekenya tutawasusa na Mungu atawatandika Kipigo cha Mbwa koko
 
Namuonea huruma huyo "D" atakapokuja kuhuzunishwa baada ya kugundua haya maandishi ni ya mama yake.
 
Haki huinua taifa. Kinyume chake ndio kinachotusumbua. Ni kama mfanyakazi wa kata anaponyimwa haki,hawezi kutulia tu wewe mtendaji ukamfanya unavyoweza. Atahangaika kwa DC, PCCB, CCM, kwa mbunge atahaha kila kona.
Taifa linapokosa viongozi matokeo yake ndiyo haya
 
Hata Mandela alikimbia nchi sababu ya Makaburu
 
The conduct is not inadvertent but clearly Deliberate
 
Halafu wanajua Tanzania kuna rasilimali tele za "killer" namna ambazo "be-4" waliozoea kuzihonyoa free of charge. JPM kakata ule mrija wa "great aorta" uliokua unawarudishia "damu" ku mwoyo.
 
You got it rightly & said it so well.
 
Namuonea huruma huyo "D" atakapokuja kuhuzunishwa baada ya kugundua haya maandishi ni ya mama yake.
Tuombe uzima tuu, ipo siku utaelewa na utakukumbusha kwa kusoma hii post
 
Jibu la swali lako ni swali lifuatalo ...

Kuna nini nyuma ya pazia kati ya CCM, TISS, NEC na POLISI dhidi ya CHADEMA .... ???
 
Mkuu,

Kumbe ndivyo ilivyokuwa? Ndio maana ya kelele zote za kudai ukiukwaji wa haki za binadamu, ubinywaji wa uhuru wa kujieleza matakwa yao yasiyozingatia sheria na tamaduni za nchi husika!!!
 
Mkuu,

Kumbe ndivyo ilivyokuwa? Ndio maana ya kelele zote za kudai ukiukwaji wa haki za binadamu, ubinywaji wa uhuru wa kujieleza matakwa yao yasiyozingatia sheria na tamaduni za nchi husika!!!

Maneno demokrasia, haki na uhuru ni maneno yanayoweza kujenga au kuibomoa taifa. Kila tunapoyaongelea tutafakari maendeleo ya mtanzania na uzalendo kwa nchi yetu

Mungu ibariki Tanzania
 
Jibu la swali lako ni swali lifuatalo ...

Kuna nini nyuma ya pazia kati ya CCM, TISS, NEC na POLISI dhidi ya CHADEMA .... ???
Kuna figisu, njama, konspairasi, komplisiti na dhe laiki, maana hao jamaa ni watu wa Chama cha Demoghasia na Mombolezo deileee.
 
Historia ni mwalimu mzuri, viongozi wa Africa tangu Mkwawa,Mirambo nk had,Mugabe ,M7 na jiwe hawajawahi kujali wananchi wala maslahi ya wananchi wao.hua wanaangalia matumbo yao
SIO KWELI MAHOSPITALI, BARABARA, NK VINAWASAIDIA WANANCHI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…