You will go 1st!Hayo ni mapambio ya kina Kwame Nkruma, kila zama na kitabu chake. Mhutu must go, wala hana uzalendo, zaidi Sana Ni muuaji, katili, asiyefuata katiba. Amegeuza ikulu kuwa pango la wanyang'anyi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You will go 1st!Hayo ni mapambio ya kina Kwame Nkruma, kila zama na kitabu chake. Mhutu must go, wala hana uzalendo, zaidi Sana Ni muuaji, katili, asiyefuata katiba. Amegeuza ikulu kuwa pango la wanyang'anyi.
Mwelekeo sahihi ni ciciem kuondoka madarakani bila hivyo wapenda demokrasia na haki za binadamu watazidisha kutugonga rungu hasa hasa kwa hii regime ya awamu ya tano.Wakuu,
Hili ni bandiko la swali ili kupata uelewa mpana kuhusiana na taswira mpya wanasiasa wa Tanzania na washirika wao wanavyoonesha katika siku za hivi karibuni.
Je, kuna uhusiano gani wa ziada nje ya utaratibu wa kawaida kwa nchi tajwa hapo juu na shirika mojawapo la haki za binadamu na chama kinzani chenye viongozi machachari zenye harakati hasi?
Je, sio muda muafaka kurejea mfumo wa usalama wa nchi na kurekebisha baadhi ya mambo ili kudhibiti mbinu chafu za kijasusi zinazoendelea hivi sasa kwa kutumia watu kutoka miongoni mwa waTanzania wenyewe ama kwa kujitambua au bila kuelewa kutokana na uerevu unaotumika kupandikiza hadaa kwa ulaghai uliobobea (mercenary hoodwink approach)?
Wajuvi wa masuala ya kijasusi tufumbueni macho tubaini mwelekeo ulio sahihi kwa mustakabali wa Taifa.