witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Hii ni kweli kabisa nayaona asee[emoji848]Na ajabu ya siku hizi Rafiki anaweza kuwa karibu yako kuliko ndugu yako...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni kweli kabisa nayaona asee[emoji848]Na ajabu ya siku hizi Rafiki anaweza kuwa karibu yako kuliko ndugu yako...
Acha tu Witty...Hii ni kweli kabisa nayaona asee[emoji848]
Hii haijakaa sawa kuna watu wana hela na hawatembelewiWenzetu wamangi huwa wanasema kuwa usilalamike kuwa hautembelewi na ndugu Bali lalamika hauna hela. Wewe kuwa na hela ndugu zako watapishana nyumbani kwako Kama hospital.niliisikia kwa redio boma fm nikiwa naishi pale Dorcas kwa mama Macha
Yes, tatizo ni huyu mduduSmartphone.
Ni kweli unachosema pia Ila namie nachosema ni kweli pia kubaliana namie.afu sijasema mie Kuna watangazaji wa redio boma fm walikuwa wanatangaza ivyoHii haijakaa sawa kuna watu wana hela na hawatembelewi
Ni kweli mfumo wa maisha umebadilika, kutokana mfumo wa kibepari, ila ukiwa tajiri hukosi ndugu masikini wa kuja kukutembelea mara kwa mara na kuomba waishi kwakoHivi wakuu nanyie mnaona kama mimi au?
Mbona kama ile Tamaduni yetu ya kutembeleana haipo tena.
Unajua ile tunakua, ilikua unasikia..Likizo hii tunaenda kwa Shangazi..kwa Baba mdogo. Kwa Mjomba... Kwa Bibi ...n.k
Lakini siku hizi hii kitu haipo
Au Mitandao yakijamii imechukua nafasi...yaan ukiona picha ya Ba mdogo kapost, unalike, unakoment.. Imeishaaa hiyooo
Au ukiona status yake wasap... Imeishaaaaaaa hiyo... Ndio salamu, ndio kujuliana hali?.
Hahah sawa mkuu wacha tuzichange.Wenzetu wamangi huwa wanasema kuwa usilalamike kuwa hautembelewi na ndugu Bali lalamika hauna hela. Wewe kuwa na hela ndugu zako watapishana nyumbani kwako Kama hospital.niliisikia kwa redio boma fm nikiwa naishi pale Dorcas kwa mama Macha
Sanaa, kuna mwengine anakaa kimya saaana tu, siku akikutafuta anahitaj hela.Siku hizi ukimtembelea Ndugu anahisi umeenda kuomba msaada
Sawa sawa mkuuJirani yako ndio rafiki na ndio ndugu yako. Maisha yanabana kwa ugumu na pia majukumu ya kazi nayo hayana mpangilio unaoeleweka. Walioajiriwa wako kazini hadi siku zinazotakiwa kuwa ni za mapumziko, inapotokea anapata mapumziko, basi hana nguvu na muda wa kwenda kwa mtu, bali kupumzika alipo au ni muda huo atautumia kufuatilia mambo yake binafsi na sio kutembelea ndugu na jamaa.
Vyuma1. Pilika pilika za Maisha aka Vyuma kukaza
2. Technology eg Simu ,Whatsapp etc