Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
- Thread starter
- #61
Ngoja tuzisakeTutafute pesa mkuu ukiwa huna pesa hata hao ndugu ukienda kuwatembelea wataona kero.Na wengine wanapina undugu kwa kuangalia status yako ya kimaisha ukiwa huna kitu hata kukuuliza hali kwenye simu pengine watashindwa lakini ukiwa upo vizuri kiuuchumi huko si wa kuuuliza hali.