sengobad
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 9,008
- 8,788
NAONGEZEA TU: Mtu unaongea naye kila siku kadri unavyotaka unaenda kwake kwa hamu ipi sasa?Utandawazi ushaingia mtu aache kutafuta hela ahangaike kutembeleana zamani maisha yalikua rahisi, leo hii usipohangaika itakula kwako kila mtu anahangaika kivyake kimsingi haya ndio maisha magumu sasa, tulikua tunayaona ulaya sasa yako hapahapa kwetu.