Kuna nini mpaka siku hizi ndugu hatutembeleani?

Ngoja tuzisake
 
Upendo hakuna,ikichangiwa na hali ya uchumi watu hawataki mob
Upendo tu Mkuu

Haya mambo ya uchum yalipaswa yasichukue nafasi ya upendo.


Weee banaaa, watu hawakua hata na baiskel, lkn walitembeaa kilometa kadhaa,kwenda kusalimia.


Siku hizi sasa daahh
 
Msisahau kumeza CIPRO waungwana.
[emoji23][emoji23][emoji23] haya yaache kule haha

Cipro, Azithro, Doxy, Cefixi, Metro[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Unamjua mdudu anaitwa Gonococcal Pharyngitis wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]????

Basi kama ni gono pata la uko chini,lkn sio gono hili[emoji23][emoji23]
 
Ili kuwa karibu tukaunda group la whatsupp
Baadae likaja wazo la KIKOBA
tunaweka na kukopa.

Lakin bado hali c shwari
 
Maadili. Unapeleka mitoto kwa shangazi toto lako linagawa mbegu wakati mwingine mpaka kwa shangazi mwenyewe halafu linakuja simulia lilivyokula kimasihara. Hakuna maadili kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…