Kuna nini TBC, mbona kila siku wafanyakazi wanaendelea kuipiga chini?

Yaani hata mimi nazidi kushangaa 🤔 itakuwa wameondoka watangazaji wote. Anyway maDJ walio baki wanajuwa kuchezea mitambo.
Sikuhisi hata PC yangu inakula tu vumbi, ni mwendo wa ngoma juu ya ngoma 24\7
 
TBC ya kweli ilikuwa ni ile ya Tido Mhando wakati amerudi nchini kutoka Uingereza. Hii ya sasa haina tofauti na lile gazeti la Mzalendo au Uhuru.
 
Hao nao ni wapumbavu, anaacha kazi TBC af anaita press, si akamalizane na HR wake? kwani alivokua anapata kazi alitutangazia? kwani sisi ndo tumemuajiri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…