Kuna nini TBC, mbona kila siku wafanyakazi wanaendelea kuipiga chini?

Kuna nini TBC, mbona kila siku wafanyakazi wanaendelea kuipiga chini?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Juzi juzi tu mtangazaji mwingine kaachia ngazi, na leo tena mwingine kaaga!

Kuna nini kwenye ajira hii ya Serikali ambayo watu wengi wanaikimbilia ?

Screenshot_2024-02-09-12-55-31-1-1.png
 
Yaani hata mimi nazidi kushangaa 🤔 itakuwa wameondoka watangazaji wote. Anyway maDJ walio baki wanajuwa kuchezea mitambo.
Sikuhisi hata PC yangu inakula tu vumbi, ni mwendo wa ngoma juu ya ngoma 24\7
 
TBC ya kweli ilikuwa ni ile ya Tido Mhando wakati amerudi nchini kutoka Uingereza. Hii ya sasa haina tofauti na lile gazeti la Mzalendo au Uhuru.
 
Hao nao ni wapumbavu, anaacha kazi TBC af anaita press, si akamalizane na HR wake? kwani alivokua anapata kazi alitutangazia? kwani sisi ndo tumemuajiri?
 
Back
Top Bottom