Kuna njia nyingine ya kupunguza hamu ya mapenzi? Tofauti na ngono!

hahaha dah nimecheka hatari
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Mazoezi, nikiwa teen Kuna wakati nilikua na issues na x girlfriend wangu nikaamua kufanya mazoezi sana I played basketball. Ilinisaidia at that time. Mwili ukichoka ni ngumu kuwaza hivyo. Tukienda deep kidogo nikutokusikiliza nyimbo, nude videos na stories za mapenzi kama utasikiliza hip-hop songs, conscious music pia inspiration speakers.
Ukiuliza mitaa sometimes husema kopa uwe na madeni but purposely and wise. Thus it.
 
Mkuu shukrani sana una hekima utafika mbali JF inahitaji watu kama wewe.
~MAZOEZI
~MUZIKI(usio na vionjo vya ngono)
~KUWA BIZE NA KAZI
~MAJUKUMU(Mf. familia,madeni,ada,kodink)
 
Issues za sex zinapunguza uwezo wakufikiri kama unafanya pasina kuelewa matrix inavyo tu-program wanacheza na dopamine sh*t!
 
Sawa tajiri ajaye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…