Kuna njia nyingine ya kupunguza hamu ya mapenzi? Tofauti na ngono!

for real 😳 πŸ˜€
🀣🀣🀣🀣 usije kunywa kama soda
Ila shule za bweni walikuwa wakiweka mafuta ya taa katika vyakula kupunguza mihemko ya chini ya wanafunzi nawe unaweza fanya hivyo
 
usije kunywa kama soda
Ila shule za bweni walikuwa wakiweka mafuta ya taa katika vyakula kupunguza mihemko ya chini ya wanafunzi nawe unaweza fanya hivyo
haha hio siwezi kujaribu
 
Duh
 
Niaje wakuu

Huu msimu wa mvua mambo ni moto upande wa nyegezi, Mwanza.

Kuna njia za kupunguza hii kitu tofauti na ngono.

Naamini mambo ya fornication & adultery sio mazuri, kuna njia mbadala?
Bro umeshapat mbinu,mm pia n shid kam yk
 
Fanya kazi au soma vitabu usiache akili wazi shetani atakuingia na kukutawala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…