Ni old method inayotumika kuepuka stress and depression kwa kuwa bize sana katika masaa mengi ya siku inatumika kwa mtu mwenye upweke au aliyefiwa na mtu wa karibu sana unajichanganya na watu sana.ndio hio nini mkuu
Pole kakaWanangu mi nakutana na show ya majirani hizi nyumba za kupanga an kuna heka heka mpaka uwazi kuhusu sex.
Kuna ishu za kazi just imagine unapata kazi ya kuumiza kichwa mda wa masaa 15 upo na mashine tu wallah uwazi sex.
Mi nikipigiwa na faza ,,n simu yake moja tu unaweza ukakosa hamu ya sex hata week tatu.. kuna mambo anakwambia mpaka unahisi hv mimi ni man of the family by the family to the family...
Mkuu kingine nilichogundua matajiri wengi hawana nguvu za kiume aisee ili uwe tajiri sahau mambo ya ngono na sex na hii inaenda tokea kwangu soon as possible...
Umeanza n kucheka kwanza we,, JAMAA JAU πππPole kaka
Comment yako inaonesha we ni mwanamke, km nikweli mada hii haikuhusu kabisaa yaniNgono Ni hitaji la akili sio mwili!
Itafutie Akili cha kufanya iachane na ngono!
Mkuu Mimi nimeshatangulia kusema kama shida ni kipato nimeshatoa muongozo namuna ya kufanya ila kama hakuna sababu ya msingi kufanya hivyo nafuu kughaili tu, yaani wanawake walivyo wazuri hivyo halafu watamu.......!!Hii kitu uwezi kuelewa kama huna critical thinking mkuu
We are not the same Mimi hata sijari kwani kila kiumbe na njia zake umasikini na utajiri zote hali na zipo tu utajiri utaupata baadae ni jambo la muda tu don't be stressed because of poverty time will tell.Nikiwaza tu kwa nini mimi sina kitu wakati kuna vijana wa umri wangu wanamiliki uchumi, hata hamu ya kuwaza mapenzi inapotea.
π apo sielew asee yn nikiwa stressed sifai kanisani wala msikitiniSijui kuna uhusiano gani kati ya mapenz na stress
Utaanza kunywa wee na Dorry wako, kabla ya mie.Youu i will komesha yuu..
Dawa ako inachemka πππ
Mimi ntakunywa na wewe nakuelewaga sanaUtaanza kunywa wee na Dorry wako, kabla ya mie.
πππππ
Em sema kweli?!Mimi ntakunywa na wewe nakuelewaga sana