Mikopo Consultant
JF-Expert Member
- Oct 28, 2024
- 529
- 1,150
Sio kweli mkuu, ni uzembe tu wa watu mda mwingine kutokujua English. Kuna watu wengi tu wanagonga ngeli na wamesoma KayumbaNami nakushangaa kutokutambua hilo mapema kiufupi bongo kama hujasoma english medium primary ni ngumu sana kuwa competent kwenye kingereza maana shule za serikali hazina mfumo mzuri wa kujifunza kiingereza
Huyo mmarekani mbona yeye hajajifunza kiswahili mkuu, English naijua Ila sio kuwa itukuzwe kiasi kwamba tujione tu watumwa ama hatufai na lugha yetu na ndio mana adi mavazi na majina tumebadilisha tunajiita ya wenye rangi ya ngozi nguruwe watu mkuu ni aibu, mbona mjerumani hajioni proud kuongea English ama kuwa/kwenda France/USA Ila Sasa black people utakuta akaandika kuwa am enjoying to be at polandHii nchi ina vituko sana.
Kuna wageni kutoka marekani wametembelea Tanzania kujifunza mambo flani flani,boss wangu akaniteua mimi na wenzangu wawili tuwaongoze kwenye shughuli zao zilizowaleta.
Cha ajabu kuna office tumeenda leo,office nzima hakuna anayeweza kuongea kiingereza kizuri,hadi mkurugenzi wa office ni zero kwenye kiingereza, eti mkurugenzi akanivuta pembeni akaniambia hayuko vizuri kiafya hivyo anaomba anikabidhi kwa meneja wake ili atusaidie shida yetu,
Meneja nae akazuga eti yuko busy lkn baadae akanivuta pembeni akaniambia huwa anapata shida kuelewa accent ya kimarekani hivyo anaomba niwe namtafsria wanachoongea hawa wageni.
Nimeshangaa sana aisee.
Kabisa kingereza ni sawa na kimakondeMbona kawaida tu, baada ya yote kiingereza sio kipimo cha kuwa na akili nyingi. Ni kimatumbi cha wazungu tu.
Kama mpaka wana ofisi ya hadhi ya kutembelewa basi ni wazi kiingereza hakina umuhimu kwao.
Kuna watu wamesoma shule za serikali wapo vizuri Sana kwenye kiingereza.Nami nakushangaa kutokutambua hilo mapema kiufupi bongo kama hujasoma english medium primary ni ngumu sana kuwa competent kwenye kingereza maana shule za serikali hazina mfumo mzuri wa kujifunza kiingereza
Tena cheo Cha ukurugenzi unaeza kujipa tu, ukaanzisha kampuni Yako ukajipa ukurugenzi,uCEO ni wewe tuMkurugenzi ni cheo, si lazima iwe daraja la usomi. Ni nafasi ya uongozi inayotolewa kwa mtu kutokana na uzoefu, ujuzi, au sifa anazokidhi kwa mujibu wa taasisi au kampuni.
Kwa hivyo, Mkurugenzi ni cheo cha kazi, si daraja la elimu.
Mbumbumbu mwenyewe, kabla sijasahau.
Hiyo Office ipo mtaa gani huko London?Hii nchi ina vituko sana.
Kuna wageni kutoka marekani wametembelea Tanzania kujifunza mambo flani flani,boss wangu akaniteua mimi na wenzangu wawili tuwaongoze kwenye shughuli zao zilizowaleta.
Cha ajabu kuna office tumeenda leo,office nzima hakuna anayeweza kuongea kiingereza kizuri,hadi mkurugenzi wa office ni zero kwenye kiingereza, eti mkurugenzi akanivuta pembeni akaniambia hayuko vizuri kiafya hivyo anaomba anikabidhi kwa meneja wake ili atusaidie shida yetu,
Meneja nae akazuga eti yuko busy lkn baadae akanivuta pembeni akaniambia huwa anapata shida kuelewa accent ya kimarekani hivyo anaomba niwe namtafsria wanachoongea hawa wageni.
Nimeshangaa sana aisee.
Kutokujua Kiingereza ndio kituko? Aisee naona we ndio kituko.Hii nchi ina vituko sana.
Kuna wageni kutoka marekani wametembelea Tanzania kujifunza mambo flani flani,boss wangu akaniteua mimi na wenzangu wawili tuwaongoze kwenye shughuli zao zilizowaleta.
Cha ajabu kuna office tumeenda leo,office nzima hakuna anayeweza kuongea kiingereza kizuri,hadi mkurugenzi wa office ni zero kwenye kiingereza, eti mkurugenzi akanivuta pembeni akaniambia hayuko vizuri kiafya hivyo anaomba anikabidhi kwa meneja wake ili atusaidie shida yetu,
Meneja nae akazuga eti yuko busy lkn baadae akanivuta pembeni akaniambia huwa anapata shida kuelewa accent ya kimarekani hivyo anaomba niwe namtafsria wanachoongea hawa wageni.
Nimeshangaa sana aisee.
Una akili za kitumwa sana, Wamarekani walipaswa wajifunze Kiswahili ili wenyewe waeleweke na sio sisi kukomaa na lugha za watu wengine.Sio kweli.haiwezekani uwe mkurugenzi halafu lugha nyepesi kama kiingereza ikupige chenga.
Lakini jamaa mpaka umewakuta ofisini lakiniTofautisha wafarqnsa na sisi mkuu, binafsi naona tunatetea vitu vya ajabu sana. Hao wafaransa wanasoma lugha yao toka utotoni, hawana sababu ya kujua a wala b ya kiingereza.
Wewe na mimi tunatumia iingereza kama lugha ya mawasiliano mtaani na taasisi za elimu. Unalinganishaje vitu viwili tofauti?
Mkuu kwa nini hukuwashangaa hao wamarekani kwa kutojua kiswahili?? Wewe ndo ulipaswa kuwa mtafasiri wao tangu mwanzo sio kuanza kushangaashangaa.Hii nchi ina vituko sana.
Kuna wageni kutoka marekani wametembelea Tanzania kujifunza mambo flani flani,boss wangu akaniteua mimi na wenzangu wawili tuwaongoze kwenye shughuli zao zilizowaleta.
Cha ajabu kuna office tumeenda leo,office nzima hakuna anayeweza kuongea kiingereza kizuri,hadi mkurugenzi wa office ni zero kwenye kiingereza, eti mkurugenzi akanivuta pembeni akaniambia hayuko vizuri kiafya hivyo anaomba anikabidhi kwa meneja wake ili atusaidie shida yetu,
Meneja nae akazuga eti yuko busy lkn baadae akanivuta pembeni akaniambia huwa anapata shida kuelewa accent ya kimarekani hivyo anaomba niwe namtafsria wanachoongea hawa wageni.
Nimeshangaa sana aisee.
Kabisa.Tena cheo Cha ukurugenzi unaeza kujipa tu, ukaanzisha kampuni Yako ukajipa ukurugenzi,uCEO ni wewe tu
Tofautisha ubelgiji na Tandale mzee,