Kuna office nimeitembelea leo,office nzima mpaka mkurugenzi hawajui kuongea Kiingereza

Nami nakushangaa kutokutambua hilo mapema kiufupi bongo kama hujasoma english medium primary ni ngumu sana kuwa competent kwenye kingereza maana shule za serikali hazina mfumo mzuri wa kujifunza kiingereza
Sio kweli mkuu, ni uzembe tu wa watu mda mwingine kutokujua English. Kuna watu wengi tu wanagonga ngeli na wamesoma Kayumba
 
Hii nchi ina vituko sana.

Kuna wageni kutoka marekani wametembelea Tanzania kujifunza mambo flani flani,boss wangu akaniteua mimi na wenzangu wawili tuwaongoze kwenye shughuli zao zilizowaleta.

Cha ajabu kuna office tumeenda leo,office nzima hakuna anayeweza kuongea kiingereza kizuri,hadi mkurugenzi wa office ni zero kwenye kiingereza, eti mkurugenzi akanivuta pembeni akaniambia hayuko vizuri kiafya hivyo anaomba anikabidhi kwa meneja wake ili atusaidie shida yetu,

Meneja nae akazuga eti yuko busy lkn baadae akanivuta pembeni akaniambia huwa anapata shida kuelewa accent ya kimarekani hivyo anaomba niwe namtafsria wanachoongea hawa wageni.
Nimeshangaa sana aisee.
Huyo mmarekani mbona yeye hajajifunza kiswahili mkuu, English naijua Ila sio kuwa itukuzwe kiasi kwamba tujione tu watumwa ama hatufai na lugha yetu na ndio mana adi mavazi na majina tumebadilisha tunajiita ya wenye rangi ya ngozi nguruwe watu mkuu ni aibu, mbona mjerumani hajioni proud kuongea English ama kuwa/kwenda France/USA Ila Sasa black people utakuta akaandika kuwa am enjoying to be at poland
 
Mbona kawaida tu, baada ya yote kiingereza sio kipimo cha kuwa na akili nyingi. Ni kimatumbi cha wazungu tu.

Kama mpaka wana ofisi ya hadhi ya kutembelewa basi ni wazi kiingereza hakina umuhimu kwao.
Kabisa kingereza ni sawa na kimakonde
 
Wale pro english tunaomba comment zenu kwa luzungu tuone kama mnajua au na nyie ni wale wale tu
 
wazungu wanatoka marekani wamekuja AFRICA bongo walitegemea tutaongea lugha gani?
 
Nami nakushangaa kutokutambua hilo mapema kiufupi bongo kama hujasoma english medium primary ni ngumu sana kuwa competent kwenye kingereza maana shule za serikali hazina mfumo mzuri wa kujifunza kiingereza
Kuna watu wamesoma shule za serikali wapo vizuri Sana kwenye kiingereza.
Hasa waliosoma primary miaka ya mwanzoni mwa 2000s kurudi nyuma mpaka kabla ya uhuru.
Mfano akina Tundu Lissu.
Mimi nimesoma shule za serikali lakini siwezi kushindwa kuwasiliana na wageni raia wa Marekani.
 
Mkurugenzi ni cheo, si lazima iwe daraja la usomi. Ni nafasi ya uongozi inayotolewa kwa mtu kutokana na uzoefu, ujuzi, au sifa anazokidhi kwa mujibu wa taasisi au kampuni.

Kwa hivyo, Mkurugenzi ni cheo cha kazi, si daraja la elimu.

Mbumbumbu mwenyewe, kabla sijasahau.
Tena cheo Cha ukurugenzi unaeza kujipa tu, ukaanzisha kampuni Yako ukajipa ukurugenzi,uCEO ni wewe tu
 
Hii nchi ina vituko sana.

Kuna wageni kutoka marekani wametembelea Tanzania kujifunza mambo flani flani,boss wangu akaniteua mimi na wenzangu wawili tuwaongoze kwenye shughuli zao zilizowaleta.

Cha ajabu kuna office tumeenda leo,office nzima hakuna anayeweza kuongea kiingereza kizuri,hadi mkurugenzi wa office ni zero kwenye kiingereza, eti mkurugenzi akanivuta pembeni akaniambia hayuko vizuri kiafya hivyo anaomba anikabidhi kwa meneja wake ili atusaidie shida yetu,

Meneja nae akazuga eti yuko busy lkn baadae akanivuta pembeni akaniambia huwa anapata shida kuelewa accent ya kimarekani hivyo anaomba niwe namtafsria wanachoongea hawa wageni.
Nimeshangaa sana aisee.
Hiyo Office ipo mtaa gani huko London?
 
Kutokujua Kiingereza ndio kituko? Aisee naona we ndio kituko.
 
Tofautisha wafarqnsa na sisi mkuu, binafsi naona tunatetea vitu vya ajabu sana. Hao wafaransa wanasoma lugha yao toka utotoni, hawana sababu ya kujua a wala b ya kiingereza.

Wewe na mimi tunatumia iingereza kama lugha ya mawasiliano mtaani na taasisi za elimu. Unalinganishaje vitu viwili tofauti?
Lakini jamaa mpaka umewakuta ofisini lakini

Ina maana shughulu zinaenda kama kawa

Hiyo ni changamoto kama zingine tu
 
Hii nchi ina vituko sana.

Kuna wageni kutoka marekani wametembelea Tanzania kujifunza mambo flani flani,boss wangu akaniteua mimi na wenzangu wawili tuwaongoze kwenye shughuli zao zilizowaleta.

Cha ajabu kuna office tumeenda leo,office nzima hakuna anayeweza kuongea kiingereza kizuri,hadi mkurugenzi wa office ni zero kwenye kiingereza, eti mkurugenzi akanivuta pembeni akaniambia hayuko vizuri kiafya hivyo anaomba anikabidhi kwa meneja wake ili atusaidie shida yetu,

Meneja nae akazuga eti yuko busy lkn baadae akanivuta pembeni akaniambia huwa anapata shida kuelewa accent ya kimarekani hivyo anaomba niwe namtafsria wanachoongea hawa wageni.
Nimeshangaa sana aisee.
Mkuu kwa nini hukuwashangaa hao wamarekani kwa kutojua kiswahili?? Wewe ndo ulipaswa kuwa mtafasiri wao tangu mwanzo sio kuanza kushangaashangaa.
 
Shenji ghete🤣onaibishije sana nsukuma michwane, gashi Olentumbafu gheke Ole tamba kisa kingereza
 
Back
Top Bottom