Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inategemea ofisi husika inashughulika na nini! Saa nyingine ofisi inashughulika na mambo ya humuhumu TZ kwahiyo hamna changamoto yoyote!.Mkuu mifumo yetu ya kiutendaji ni ya lugha ya Kiingereza ina Maana kama hajui lugha atapata shida kusoma Mikataba au Barua na kujibu Email kutoka nje.
Hakuna cha kushangaa hapo. Watanzania kwa kiasi kikubwa tunazungumza Kiswahili katika maisha yetu ya kila siku.Hii nchi ina vituko sana.
Kuna wageni kutoka marekani wametembelea Tanzania kujifunza mambo flani flani,boss wangu akaniteua mimi na wenzangu wawili tuwaongoze kwenye shughuli zao zilizowaleta.
Cha ajabu kuna office tumeenda leo,office nzima hakuna anayeweza kuongea kiingereza kizuri,hadi mkurugenzi wa office ni zero kwenye kiingereza, eti mkurugenzi akanivuta pembeni akaniambia hayuko vizuri kiafya hivyo anaomba anikabidhi kwa meneja wake ili atusaidie shida yetu,
Meneja nae akazuga eti yuko busy lkn baadae akanivuta pembeni akaniambia huwa anapata shida kuelewa accent ya kimarekani hivyo anaomba niwe namtafsria wanachoongea hawa wageni.
Nimeshangaa sana aisee.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, Sema kweli Kiingereza Bado ni Baba mkwe kwa graduates wengi wa nchi hii, sijui shida ni nini, hakuna kisingizio sijui lugha ya Taifa imefanyeje, sijui ni lugha tu kama zingine, ingekuwa hivyo basi tungesoma na kufanya research zetu kwa kisukuma au kiha au ku defend hizo thesis mbele za maprofessor kwa kizaramo.Sio kweli.haiwezekani uwe mkurugenzi halafu lugha nyepesi kama kiingereza ikupige chenga.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, Sema kweli Kiingereza Bado ni Baba mkwe kwa graduates wengi wa nchi hii, sijui shida ni nini, hakuna kisingizio sijui lugha ya Taifa imefanyeje, sijui ni lugha tu kama zingine, ingekuwa hivyo basi tungesoma na kufanya research zetu kwa kisukuma au kiha au ku defend hizo thesis mbele za maprofessor kwa kizaramo.Hakuna cha kushangaa hapo. Watanzania kwa kiasi kikubwa tunazungumza Kiswahili katika maisha yetu ya kila siku.
Ni vile tu hamjui. Kiswahili kina nguvu sana Tanzania kwa sababu ya kutumiwa katika mfumo wa elimu ya msingi.
Hata hao watoto wa medium wa day school wakirudi nyumbani wanazungumza Kiswahili, hivyo uwezo wa kuzungumza Kiingereza kwa Watanzania unaendelea kudumaa.
Waulize wazee waliosoma middle school ambavyo wanakijua Kiingereza
Tofautisha ubelgiji na Tandale mzee,Acha ubwege, nchi kama Spain, Italy, France au ukienda kusini mwa Ubelgiji, kule madaktari, wanasheria na hata wafanyakazi waserikalini hawajui kiingereza.
Ina maana hata CNN hawaelewi?Hii nchi ina vituko sana.
Kuna wageni kutoka marekani wametembelea Tanzania kujifunza mambo flani flani,boss wangu akaniteua mimi na wenzangu wawili tuwaongoze kwenye shughuli zao zilizowaleta.
Cha ajabu kuna office tumeenda leo,office nzima hakuna anayeweza kuongea kiingereza kizuri,hadi mkurugenzi wa office ni zero kwenye kiingereza, eti mkurugenzi akanivuta pembeni akaniambia hayuko vizuri kiafya hivyo anaomba anikabidhi kwa meneja wake ili atusaidie shida yetu,
Meneja nae akazuga eti yuko busy lkn baadae akanivuta pembeni akaniambia huwa anapata shida kuelewa accent ya kimarekani hivyo anaomba niwe namtafsria wanachoongea hawa wageni.
Nimeshangaa sana aisee.
AJIRA za kamlete hizo, Kuna hospital moja niliwahi kuingia nikawauliza wauguzi nini maana ya "osmosis" wote walibaki wametumbua macho utadhani nimeuliza kitu kipyaHii nchi ina vituko sana.
Kuna wageni kutoka marekani wametembelea Tanzania kujifunza mambo flani flani,boss wangu akaniteua mimi na wenzangu wawili tuwaongoze kwenye shughuli zao zilizowaleta.
Cha ajabu kuna office tumeenda leo,office nzima hakuna anayeweza kuongea kiingereza kizuri,hadi mkurugenzi wa office ni zero kwenye kiingereza, eti mkurugenzi akanivuta pembeni akaniambia hayuko vizuri kiafya hivyo anaomba anikabidhi kwa meneja wake ili atusaidie shida yetu,
Meneja nae akazuga eti yuko busy lkn baadae akanivuta pembeni akaniambia huwa anapata shida kuelewa accent ya kimarekani hivyo anaomba niwe namtafsria wanachoongea hawa wageni.
Nimeshangaa sana aisee.
Sasa mbona mtu kakitumia kujifunzia hadi chuo kikuu na anashindwa kuwasiliana kwa hicho kimatumbi? Ajabu hii...Kiingereza ni lugha tu kama lugha zingine mfano Kimatumbi, kisukuma kiswahili n.k
Wewe ni msomi, lugha nyepesi kama kimasai unaijua?Sio kweli.haiwezekani uwe mkurugenzi halafu lugha nyepesi kama kiingereza ikupige chenga.
Kajifunza kujibia mitihani sio kuongeaSasa mbona mtu kakitumia kujifunzia hadi chuo kikuu na anashindwa kuwasiliana kwa hicho kimatumbi? Ajabu hii...
Lakini huko uchina hawatumii kingereza popote, sio mtaani wala mashuleni/vyuoni. Sio ajabu kwa mchina, mjerumani, mrusi..nk ila ni ajabu kwa mtanzania kwa sababu ni lugha ameitumia kupata maarifa.unashanga mkurugenzi wa ofisi wakati rais wa China taifa kubwa duniani katika kila kitu na yeye pia hajui kingereza
Hata ingekuwa mimi ningeshangaa bhana we mtu toka form one mpaka Doctorate unasoma Kwa Kiingereza, na bado huwezi kuzungumza, hawa walifauluje?🤔.Acha utumwa wa kifikra, ulivyo mshamba unashangaa mtanzania kutokujua kiingereza ila hushangai wageni wako kutokujua kiswahili!
Unajua mtu mpaka anakuwa Mkurugenzi Tanzania minimum education level mara nyingi ni Master's.Mbona kawaida tu, baada ya yote kiingereza sio kipimo cha kuwa na akili nyingi. Ni kimatumbi cha wazungu tu.
Kama mpaka wana ofisi ya hadhi ya kutembelewa basi ni wazi kiingereza hakina umuhimu kwao.
Usitetee vitu vya ajabu mkuu, huwezi kufananisha Uchida, urusi nk na Tanzania ambapo lugha inatumika kuanzia level ya chini kimawasilano na kielimu.Kajifunza kujibia mitihani sio kuongea