Kuna office nimeitembelea leo,office nzima mpaka mkurugenzi hawajui kuongea Kiingereza

Mkuu mifumo yetu ya kiutendaji ni ya lugha ya Kiingereza ina Maana kama hajui lugha atapata shida kusoma Mikataba au Barua na kujibu Email kutoka nje.
Inategemea ofisi husika inashughulika na nini! Saa nyingine ofisi inashughulika na mambo ya humuhumu TZ kwahiyo hamna changamoto yoyote!.
 
Hii nchi ina vituko sana.

Kuna wageni kutoka marekani wametembelea Tanzania kujifunza mambo flani flani,boss wangu akaniteua mimi na wenzangu wawili tuwaongoze kwenye shughuli zao zilizowaleta.

Cha ajabu kuna office tumeenda leo,office nzima hakuna anayeweza kuongea kiingereza kizuri,hadi mkurugenzi wa office ni zero kwenye kiingereza, eti mkurugenzi akanivuta pembeni akaniambia hayuko vizuri kiafya hivyo anaomba anikabidhi kwa meneja wake ili atusaidie shida yetu,

Meneja nae akazuga eti yuko busy lkn baadae akanivuta pembeni akaniambia huwa anapata shida kuelewa accent ya kimarekani hivyo anaomba niwe namtafsria wanachoongea hawa wageni.
Nimeshangaa sana aisee.
Hakuna cha kushangaa hapo. Watanzania kwa kiasi kikubwa tunazungumza Kiswahili katika maisha yetu ya kila siku.

Ni vile tu hamjui. Kiswahili kina nguvu sana Tanzania kwa sababu ya kutumiwa katika mfumo wa elimu ya msingi.

Hata hao watoto wa medium wa day school wakirudi nyumbani wanazungumza Kiswahili, hivyo uwezo wa kuzungumza Kiingereza kwa Watanzania unaendelea kudumaa.

Waulize wazee waliosoma middle school ambavyo wanakijua Kiingereza
 
Sio kweli.haiwezekani uwe mkurugenzi halafu lugha nyepesi kama kiingereza ikupige chenga.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, Sema kweli Kiingereza Bado ni Baba mkwe kwa graduates wengi wa nchi hii, sijui shida ni nini, hakuna kisingizio sijui lugha ya Taifa imefanyeje, sijui ni lugha tu kama zingine, ingekuwa hivyo basi tungesoma na kufanya research zetu kwa kisukuma au kiha au ku defend hizo thesis mbele za maprofessor kwa kizaramo.

hata kama mtu kasoma shule za Serikali lakini kuanzia kidato cha Kwanza mpaka Doctorate ni kimombo mwanzo mwisho sasa sijui wanashindwa nini, na walifaulu aje hawa watu kama kweli hawajui 🤔🤗

Ni aibu kwa kweli, Bora ambaye hakusoma ana la kujitetea, graduates either from university or college seriously 😳
 
Acha ubwege, nchi kama Spain, Italy, France au ukienda kusini mwa Ubelgiji, kule madaktari, wanasheria na hata wafanyakazi waserikalini hawajui kiingereza.
 
Ina maana hata CNN hawaelewi?
 
AJIRA za kamlete hizo, Kuna hospital moja niliwahi kuingia nikawauliza wauguzi nini maana ya "osmosis" wote walibaki wametumbua macho utadhani nimeuliza kitu kipya
 
1. Kiingereza ni sawa na Kikurya tu. Au Lugha nyingine. Kutegemeana. Na upo Wapi na unafanya nini. Duniani kuna nchi na sehemu nyingi mhimu hawaongei kiingereza.
2. Omba Wamarekani wako wakupekeke Angalau kuanzia Dubai kwenda mbele , utaelewa kiingereza ni lugha Kama lugha zingine.
3. Kwa Maoni yangu ungekuwa na hoja Angalau ungesema hawawezi kuongea kiswahili.
Tanzania si uingereza.
5. Achana na unyonge huo
JIULIZE.
Je Mtaani kwako unaowaona wamefanikiwa malengo Yao ni kwa sababu ya kujua kiingereza tu ?

2. Walioshindwa kufanikiwa ni kwa sababu hawajui kiingereza tu?
3. Kuongea kiingereza kizuri ni vizuri. Ila ina uzito Kama 10%.
Kuwa MTUMISHI mzuri ni zaidi ya kuongea kiingereza kizuri.
 
Sio kweli.haiwezekani uwe mkurugenzi halafu lugha nyepesi kama kiingereza ikupige chenga.
Wewe ni msomi, lugha nyepesi kama kimasai unaijua?

Huko Germany, Russia, Korea ambako hawajui kingereza nao ni wajinga kama wewe?

Wewe ulieteuliwa na boss wako uwatembeze wazungu, wewe ni mkurugenzi wa kampuni gani?

Kingereza kimekusaidia nini ukiondoa kuagizwa na boss wako kuwatembeza wazungu?
 
unashanga mkurugenzi wa ofisi wakati rais wa China taifa kubwa duniani katika kila kitu na yeye pia hajui kingereza
Lakini huko uchina hawatumii kingereza popote, sio mtaani wala mashuleni/vyuoni. Sio ajabu kwa mchina, mjerumani, mrusi..nk ila ni ajabu kwa mtanzania kwa sababu ni lugha ameitumia kupata maarifa.
 
Acha utumwa wa kifikra, ulivyo mshamba unashangaa mtanzania kutokujua kiingereza ila hushangai wageni wako kutokujua kiswahili!
Hata ingekuwa mimi ningeshangaa bhana we mtu toka form one mpaka Doctorate unasoma Kwa Kiingereza, na bado huwezi kuzungumza, hawa walifauluje?🤔.

Hao wazungu wanalo lakujitetea ni lugha ngeni kwao hawajawahi kuitumia popote katika Maisha yao ya kila siku
 
Mbona kawaida tu, baada ya yote kiingereza sio kipimo cha kuwa na akili nyingi. Ni kimatumbi cha wazungu tu.

Kama mpaka wana ofisi ya hadhi ya kutembelewa basi ni wazi kiingereza hakina umuhimu kwao.
Unajua mtu mpaka anakuwa Mkurugenzi Tanzania minimum education level mara nyingi ni Master's.
Sasa lijitu limekaa darasani linagundishwa kwa KIINGEREZA na kujibu kwa KIINGEREZA zaidi ya miaka 14 halafu halijui kuongea kiingereza.
Huu ni uhuni. Korea, China na wengine husoma kwa lugha zao. Kwahiyo msijitetee nyie mambumbumbu
 
Kajifunza kujibia mitihani sio kuongea
Usitetee vitu vya ajabu mkuu, huwezi kufananisha Uchida, urusi nk na Tanzania ambapo lugha inatumika kuanzia level ya chini kimawasilano na kielimu.
 
Back
Top Bottom