Kuna ongezeko kubwa la maambukizi ya VVU kwa wasichana wenye umri wa miaka 15-24 Tanzania

Mkuu serious unataka kusema elimu hakuna..

Mtu anaanza kusoma ukimwi toka darasa la tatu, la nne, la sita

Form one atakuja tena atasoma form 4 ka sikosei.

Advance lazima wasome kwenye general study

Chuo pia wanasoma

Bado kuna FEMA kuna mashirika kibao.

Ni elimu gani unayozungumzia wewe
 
Na nyie mnaokulana na wafanyakazi wa ndani endeleeni. Mtoto wa 20s kaja kwako kufanya kazi unaanza kumtamani ndani ya nyumba yako na mkeo / partner. Unaanza kumla…….. endeleeni
Wafanyakazi wa ndani wapewe maua yao
 
Na nyie mnaokulana na wafanyakazi wa ndani endeleeni. Mtoto wa 20s kaja kwako kufanya kazi unaanza kumtamani ndani ya nyumba yako na mkeo / partner. Unaanza kumla…….. endeleeni

🤣 waache tu..
 
Ukiangalia iyo range ya umri jinsi ilivyoambatanishwa utaona io kundi ndio la waaichana ndio lenye tamaa ya kuishi maisha expensive wakitegemea kudanga na ndio wanaangukia kwa wanaume wenye huo umri maana wengi wanakua wameahajipata
 
Ukiangalia range ya umri utaona iko ni kizazi ambacho kimepata akili wakati ARV zishasambaa bongo hii madogo hata hawajui mgonjwa wa ukimwi anakuaje, wangekuwepo miaka ya tisini mpaka 2000 mwanzoni wakati ARV hazipo wangejua ukimwi ni nini.
 
Basi hujui unachokiongea 😊
 
Tamaa za vijana wa kike kupenda maisha marahisi ndo kumewafikisha hapo. wanaume miaka 30 angalau wanaanza kushika vijisent, miaka 60 wanakula mafao hao, wana ukware hakuna mfano na nguvu hawana wengi ndo wanatumia mkongo na Viagra wanaishia kufa.Umri huo kwa wanaume wanazani kwa kusugua sana wanawakomoa kutokana na kuchunwa, "chuna baby" huku wakiamini wanaacha alama kumbe ndo wanaubeba na kusambaza.Makubaliano ya kikao cha mwisho wa mwezi wa sita wanaume wajanja, ni ta.. tatu unamwaga unasepa.
 
Inasikitisha kwa kweli..Ila najaribu kuwaza, SIO KWAMBA hao wenye umri tajwa sio wagonjwa wapya ila wamehamasika kupima ndani ya kipindi hiki labda baada ya kusogezewa huduma na kuhamasishwa?
 
Hizo takwimu sio sawa ni zaidi ya hapo labda mara 4, nikiangalia kuanzia kazini , mtaani karibu kila nyumba kuna mwathirika wa ukimwi, hasa wenye umri kuanzia 35 mpaka 60,
 
Wanaviita vitoto vya elfu 2 balaa hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…