Kuna ongezeko kubwa la maambukizi ya VVU kwa wasichana wenye umri wa miaka 15-24 Tanzania

Kuna ongezeko kubwa la maambukizi ya VVU kwa wasichana wenye umri wa miaka 15-24 Tanzania

Bila shaka hiki kizazi cha sasa hakijapata vizuri elimu kuhusu huu ugonjwa na jinsi unavyo ambukiza,

Itolewe elimu kuanzia huko Mashuleni,wazazi nao watoe elimu kwa watoto wao kuhusu huu ugonjwa,

Kumuambukiza ugonjwa binadamu mwenzako kwa makusudi ni sawa na kumuua,hasa kwa hawa vijana ambao hawana elimu kuhusu huu ugonjwa,hata ukiambukiza watu,wewe haitokusaidia kitu,kila mtu ajilinde na amlinde mwenzake.
Mkuu serious unataka kusema elimu hakuna..

Mtu anaanza kusoma ukimwi toka darasa la tatu, la nne, la sita

Form one atakuja tena atasoma form 4 ka sikosei.

Advance lazima wasome kwenye general study

Chuo pia wanasoma

Bado kuna FEMA kuna mashirika kibao.

Ni elimu gani unayozungumzia wewe
 
Na nyie mnaokulana na wafanyakazi wa ndani endeleeni. Mtoto wa 20s kaja kwako kufanya kazi unaanza kumtamani ndani ya nyumba yako na mkeo / partner. Unaanza kumla…….. endeleeni
Wafanyakazi wa ndani wapewe maua yao
 
Na nyie mnaokulana na wafanyakazi wa ndani endeleeni. Mtoto wa 20s kaja kwako kufanya kazi unaanza kumtamani ndani ya nyumba yako na mkeo / partner. Unaanza kumla…….. endeleeni

🤣 waache tu..
 
Kulikuwa na kupungua kwa maambukizi miongoni mwa makundi mengine ya umri isipokuwa kundi la umri wa miaka 15-24, na kwa sasa, Watanzania 1,548,000 wanaishi na VVU.

Kaimu mkurugenzi mtendaji wa Tacaids, Dkt. Jerome Kamwela, alisema wanaume wakubwa, hasa wenye umri kati ya miaka 30 na 60, wamebainika kuwa sababu kuu ya kuongezeka kwa maambukizi miongoni mwa wasichana wadogo.
Ukiangalia iyo range ya umri jinsi ilivyoambatanishwa utaona io kundi ndio la waaichana ndio lenye tamaa ya kuishi maisha expensive wakitegemea kudanga na ndio wanaangukia kwa wanaume wenye huo umri maana wengi wanakua wameahajipata
 
Bila shaka hiki kizazi cha sasa hakijapata vizuri elimu kuhusu huu ugonjwa na jinsi unavyo ambukiza,

Itolewe elimu kuanzia huko Mashuleni,wazazi nao watoe elimu kwa watoto wao kuhusu huu ugonjwa,

Kumuambukiza ugonjwa binadamu mwenzako kwa makusudi ni sawa na kumuua,hasa kwa hawa vijana ambao hawana elimu kuhusu huu ugonjwa,hata ukiambukiza watu,wewe haitokusaidia kitu,kila mtu ajilinde na amlinde mwenzake.
Ukiangalia range ya umri utaona iko ni kizazi ambacho kimepata akili wakati ARV zishasambaa bongo hii madogo hata hawajui mgonjwa wa ukimwi anakuaje, wangekuwepo miaka ya tisini mpaka 2000 mwanzoni wakati ARV hazipo wangejua ukimwi ni nini.
 
Hayafai hayo maARV ni mabaya, nina case studies za kuona kwa macho na sio kusoma kwenye majarida ya medical school.

Ama ni zidovudine au sijui hiyo stivodine na matakataka mengine ni sumu tupu ambazo hazifai kumpa hata mbwa!

Kabla hujafa kwa UKIMWI lazima figo ikuue, Kinga za mwili zichakazwe na sumu na madhara mengine mabaya sana.
Basi hujui unachokiongea 😊
 
Tamaa za vijana wa kike kupenda maisha marahisi ndo kumewafikisha hapo. wanaume miaka 30 angalau wanaanza kushika vijisent, miaka 60 wanakula mafao hao, wana ukware hakuna mfano na nguvu hawana wengi ndo wanatumia mkongo na Viagra wanaishia kufa.Umri huo kwa wanaume wanazani kwa kusugua sana wanawakomoa kutokana na kuchunwa, "chuna baby" huku wakiamini wanaacha alama kumbe ndo wanaubeba na kusambaza.Makubaliano ya kikao cha mwisho wa mwezi wa sita wanaume wajanja, ni ta.. tatu unamwaga unasepa.
 
Inasikitisha kwa kweli..Ila najaribu kuwaza, SIO KWAMBA hao wenye umri tajwa sio wagonjwa wapya ila wamehamasika kupima ndani ya kipindi hiki labda baada ya kusogezewa huduma na kuhamasishwa?
 
Hizo takwimu sio sawa ni zaidi ya hapo labda mara 4, nikiangalia kuanzia kazini , mtaani karibu kila nyumba kuna mwathirika wa ukimwi, hasa wenye umri kuanzia 35 mpaka 60,
 
Back
Top Bottom