Fundi manyumba
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 3,799
- 8,063
Unavochambua hayo madhara ya ARV unanipa wasi wasiSijui.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unavochambua hayo madhara ya ARV unanipa wasi wasiSijui.
Mkuu serious unataka kusema elimu hakuna..Bila shaka hiki kizazi cha sasa hakijapata vizuri elimu kuhusu huu ugonjwa na jinsi unavyo ambukiza,
Itolewe elimu kuanzia huko Mashuleni,wazazi nao watoe elimu kwa watoto wao kuhusu huu ugonjwa,
Kumuambukiza ugonjwa binadamu mwenzako kwa makusudi ni sawa na kumuua,hasa kwa hawa vijana ambao hawana elimu kuhusu huu ugonjwa,hata ukiambukiza watu,wewe haitokusaidia kitu,kila mtu ajilinde na amlinde mwenzake.
Ngikuweni kwedua darasa lau myaHv unajua maana ya Mbuti ?kama unajua kuwa makini nazo sana nyingi sitre mafinyofinyo
Wafanyakazi wa ndani wapewe maua yaoNa nyie mnaokulana na wafanyakazi wa ndani endeleeni. Mtoto wa 20s kaja kwako kufanya kazi unaanza kumtamani ndani ya nyumba yako na mkeo / partner. Unaanza kumla…….. endeleeni
Na nyie mnaokulana na wafanyakazi wa ndani endeleeni. Mtoto wa 20s kaja kwako kufanya kazi unaanza kumtamani ndani ya nyumba yako na mkeo / partner. Unaanza kumla…….. endeleeni
,🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌safi sana, HIV Baba, shikilia hapo hapo
Ukiangalia iyo range ya umri jinsi ilivyoambatanishwa utaona io kundi ndio la waaichana ndio lenye tamaa ya kuishi maisha expensive wakitegemea kudanga na ndio wanaangukia kwa wanaume wenye huo umri maana wengi wanakua wameahajipataKulikuwa na kupungua kwa maambukizi miongoni mwa makundi mengine ya umri isipokuwa kundi la umri wa miaka 15-24, na kwa sasa, Watanzania 1,548,000 wanaishi na VVU.
Kaimu mkurugenzi mtendaji wa Tacaids, Dkt. Jerome Kamwela, alisema wanaume wakubwa, hasa wenye umri kati ya miaka 30 na 60, wamebainika kuwa sababu kuu ya kuongezeka kwa maambukizi miongoni mwa wasichana wadogo.
Ukiangalia range ya umri utaona iko ni kizazi ambacho kimepata akili wakati ARV zishasambaa bongo hii madogo hata hawajui mgonjwa wa ukimwi anakuaje, wangekuwepo miaka ya tisini mpaka 2000 mwanzoni wakati ARV hazipo wangejua ukimwi ni nini.Bila shaka hiki kizazi cha sasa hakijapata vizuri elimu kuhusu huu ugonjwa na jinsi unavyo ambukiza,
Itolewe elimu kuanzia huko Mashuleni,wazazi nao watoe elimu kwa watoto wao kuhusu huu ugonjwa,
Kumuambukiza ugonjwa binadamu mwenzako kwa makusudi ni sawa na kumuua,hasa kwa hawa vijana ambao hawana elimu kuhusu huu ugonjwa,hata ukiambukiza watu,wewe haitokusaidia kitu,kila mtu ajilinde na amlinde mwenzake.
Basi hujui unachokiongea 😊Hayafai hayo maARV ni mabaya, nina case studies za kuona kwa macho na sio kusoma kwenye majarida ya medical school.
Ama ni zidovudine au sijui hiyo stivodine na matakataka mengine ni sumu tupu ambazo hazifai kumpa hata mbwa!
Kabla hujafa kwa UKIMWI lazima figo ikuue, Kinga za mwili zichakazwe na sumu na madhara mengine mabaya sana.
HahaNgikuweni kwedua darasa lau mya
JidanganyeMiaka 40 sio rahisi kupata hiv
Yaani miaka yote utoboe uje upate uzeeni.?
Sisi tunaokulana na wazee tuko safe