gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Lipa kodi,mnadhani serikali itapata wapi fedha?..wakikopa kelele,wakiwakata kodi kelele,tz ina watu 70 m,walipa kodi 1.5m,kenya walipa kodi 7m watu 40+mNa aliegundua kuchukua hela zetu kupitia hayo makato alituweza na wanapata hela nyingi sana
Kujenga nchi ama kulipa madeni ya Hela ambazo CAG anasema zaidi ya Trilioni 1.8 zilipotelea kusikojulikana?Unataka nani atie hela za kujenga nchi?
HarambeeWamechangia halambee ya ccm mnafikili pesa ina rudimentary?
Mkuu unawalaumu TRA buuuure na sio sawa!! Waziri wa fedha - mbunge wa CCM ndiye aliyependekeza kichomi hiko kwenye Bajeti na bunge lenye wabunge wa CCM asilimia 99.9 likapitisha unanimously!!! Hapa, alaumiwe waziri, spika na Bunge!!!Nimefanya transaction kwa mobile phone. Nimetoa kwa wakala na hichi ndicho kilichonistua....
Salio lako jipya ni TSh xxxx. Umetuma pesa kwa Wakala - xxxxxxx xxxxxx kiasi TSh 20,000. Jumla ya Makato TSh 2,156. (Ada TSh 1,850, Tozo TSh 306), VAT TSh 329. Kumbukumbu No.: xxxxxxxxxxx. 13/08/25 19:58. Furahia Punguzo kubwa la bei unapofanya miamala....
Hivi TRA wanatuona sisi raia kama mazuzu au nini hiki wanachokitafuta kwetu?
Wizara ya Fedha, huu mchezo ni wizi na siyo haki
Acha propaganda wewe... Kodi hii inayofujwa kwa uchaguzi feki?Lipa kodi,mnadhani serikali itapata wapi fedha?..wakikopa kelele,wakiwakata kodi kelele,tz ina watu 70 m,walipa kodi 1.5m,kenya walipa kodi 7m watu 40+m
🤣 🤣 🤣 🔊 Mbavu sina!!Wanapaswa kujitafakari sana
We punguani kweli,kodi inatosheleza bajeti!?.. halafu mapunguani ndiyo mna keleleKujenga nchi ama kulipa madeni ya Hela ambazo CAG anasema zaidi ya Trilioni 1.8 zilipotelea kusikojulikana?
Kama Hela za Kodi ndizo zinajenga nchi haya madeni yanaongezeka kwa sababu gani?
Na miundombinu inajengwa kwa nywele zako za huku?.. uchaguzi feki kwa kuwa hampo!?Acha propaganda wewe... Kodi hii inayofujwa kwa uchaguzi feki?
Mkuu sio mwafirika, hapana sema Mtanzania hasa Mtanganyika!!!Akili za muafrika ndo zilivyo. 🙂 🙂
Kukopa ni suspended tax, badala ulipishwe kodi leo ikulemee, serikali inakopa unakuwa unalipa kodi kidogo kidogoKujenga nchi ama kulipa madeni ya Hela ambazo CAG anasema zaidi ya Trilioni 1.8 zilipotelea kusikojulikana?
Kama Hela za Kodi ndizo zinajenga nchi haya madeni yanaongezeka kwa sababu gani?
Muhim ni umeelewaHarambee
Mjinga mmoja weweee🤣🤣🤣🤣Mkadhani ni gsm tu wanawachangia ccm?!
Nyi mbwa wa memkwa wengi sanaMuhim ni umeelewa
Nafikiri labda ka unatoa au tuma kuanzia 1m.Mbona walitangaza makato kupungua
Kwa hiyo hapa namuangalia gigy?Unatumia MB kuangalia Giggy Money akisutana na Diva, acha wakulime
Chadema ni kama hamuaminiki Kwa uzushi Kwa sababu Toka July 2025 Serikali imeshusha makato haya ya kwako umeyatoa wapi?Nimefanya transaction kwa mobile phone. Nimetoa kwa wakala na hichi ndicho kilichonistua....
Salio lako jipya ni TSh xxxx. Umetuma pesa kwa Wakala - xxxxxxx xxxxxx kiasi TSh 20,000. Jumla ya Makato TSh 2,156. (Ada TSh 1,850, Tozo TSh 306), VAT TSh 329. Kumbukumbu No.: xxxxxxxxxxx. 13/08/25 19:58. Furahia Punguzo kubwa la bei unapofanya miamala....
Hivi TRA wanatuona sisi raia kama mazuzu au nini hiki wanachokitafuta kwetu?
Wizara ya Fedha, huu mchezo ni wizi na siyo haki
Kama haitoshelezi bajeti kwa nini Kodi inayopatikana inafujwa kila mwaka kwa matumizi ya hovyo?We punguani kweli,kodi inatosheleza bajeti!?.. halafu mapunguani ndiyo mna kelele
Hivi kuna asiyelipa kodi Tanzania - yaani hatumii vya dukani, sokoni, hajengi, hatumii simu, nk?Lipa kodi,mnadhani serikali itapata wapi fedha?..wakikopa kelele,wakiwakata kodi kelele,tz ina watu 70 m,walipa kodi 1.5m,kenya walipa kodi 7m watu 40+m