Strong and Fearless
JF-Expert Member
- Apr 24, 2017
- 815
- 1,983
unatumia simu ya aina ganiWakishakusaidia na hilo wanisaidie na mimi pia..
Sitaki kupokea namba ambayo haipo kwenye contacts..
Hii kwangu inakataa !!*21*0754#
msg zitaingia lakini
ukitaka anaepiga aambiwe namba unayopiga haipo
*21*0000#
Usiogope mtu mkuu, we ogopa Mungu tu, lipa hayo madeni ya watu uishi kwa raha.Hi Guys
My friend anauliza kuna option yoyote anaweza akafanya kwenye simu ili mtu akimpigia awe hapatikani but anapatikana?
Anaenda kwa her new babe so kuna this guy Ana date nae but Ana plan za Kuachana nae kiistaarabu so she will be spending like a month kwa huyo new babe. Sasa hataki uyo mwanume amsumbue kwenye simu.
Na hataki kumblock coz anaona kama yule atajiskia vibaya and all that Yani
Any advice wapendwa wangu kwa my friend?
ipi inaktaaaHii kwangu inakataa !!
Hi Guys

Mwambie abadilishe no ya simu
Samsung A12unatumia simu ya aina gani