Kuna option yoyote mtu unaweza kufanya kwenye simu ili mtu akikupigia unakua hupatikani but in reality unapatikana?

Strong and Fearless

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2017
Posts
815
Reaction score
1,983
Hi Guys
My friend anauliza kuna option yoyote anaweza akafanya kwenye simu ili mtu akimpigia awe hapatikani but anapatikana?
Anaenda kwa her new babe so kuna this guy Ana date nae but Ana plan za Kuachana nae kiistaarabu so she will be spending like a month kwa huyo new babe. Sasa hataki uyo mwanume amsumbue kwenye simu.
Na hataki kumblock coz anaona kama yule atajiskia vibaya and all that Yani
Any advice wapendwa wangu kwa my friend?
 
IMG-20240607-WA0101.jpg
 
Usiogope mtu mkuu, we ogopa Mungu tu, lipa hayo madeni ya watu uishi kwa raha.
 
Una miaka mingapi bwashee ?
Hi Guys
My friend anauliza kuna option yoyote anaweza akafanya kwenye simu ili mtu akimpigia awe hapatikani but anapatikana?
Anaenda kwa her new babe so kuna this guy Ana date nae but Ana plan za Kuachana nae kiistaarabu so she will be spending like a month kwa huyo new babe. Sasa hataki uyo mwanume amsumbue kwenye simu.
Na hataki kumblock coz anaona kama yule atajiskia vibaya and all that Yani
Any advice wapendwa wangu kwa my friend?
 
Kile kitabu cha maelekezo ya matumizi 'User manual' ndipo naona umuhimu wake kwa nini huwa nakisoma.

Wengi wetu kwa sababu ya ujuaji hata kuichokonoa simu kwa kuingia kila sehemu kwa umakini nayo hatuwezi.

NOTE: Hii ni kutoa angalizo tu, ingawa wadau washatao njia.
 
Back
Top Bottom