Swahili_Patriot
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 358
- 831
Kila atakayekupigia atakukosa hewani, ataambiwa no unayoipigia haipo. Kurudisha chombo kwa hewa *23#.Hi Guys
My friend anauliza kuna option yoyote anaweza akafanya kwenye simu ili mtu akimpigia awe hapatikani but anapatikana?
Anaenda kwa her new babe so kuna this guy Ana date nae but Ana plan za Kuachana nae kiistaarabu so she will be spending like a month kwa huyo new babe. Sasa hataki uyo mwanume amsumbue kwenye simu.
Na hataki kumblock coz anaona kama yule atajiskia vibaya and all that Yani
Any advice wapendwa wangu kwa my friend?
NIna option kama hiyo nimeweka on muda mrefu lakini bado napokea unknown numbersNenda Phone👉Juu Kulia Bonyez kile Kitufe cha Setting👉Ingia Harassment Filter👉 Switch On i) Block no. not in contacts ii) Block unknown contact..
Hebu jaribu hivyo... kama kuna hiyo options kwa Simu yako!
Unknown au private hii huduma haitumiki kwa sasa hapa nchini kama wanatumia basi wachacheNIna option kama hiyo nimeweka on muda mrefu lakini bado napokea unknown numbersView attachment 3024778
Unabonyezaje code za kuambiwa mtandaoni, Huyo aliyezitoa UNAMJUA?Hii kwangu inakataa !!
Hiyo ni blocking na watakaompigia wataambiwa anaongea na simu nyingine au namba inatumika hivyo watu watajua ameblock. Msaada utakiwao ni watu waambiwe namba haipo au haipatikani kwa sasa.Nenda Phone👉Juu Kulia Bonyez kile Kitufe cha Setting👉Ingia Harassment Filter👉 Switch On i) Block no. not in contacts ii) Block unknown contact..
Hebu jaribu hivyo... kama kuna hiyo options kwa Simu yako!l
🤣🤣🤣🤣Hivi hii tabia ya kila mtu akileta thread anasema kuna mshkaji wangu/kuna ndugu yangu/kuna rafiki yangu na bla bla nyingine, kwani ukisoma ni wewe kuna shida gani?
Bac kama ndivyo, haifanyi kazi rafiki!NIna option kama hiyo nimeweka on muda mrefu lakini bado napokea unknown numbersView attachment 3024778
Ila kwangu inafanya kazi vizuri sana ninapohitaji, Zinazo ingia ni SMS tu!Bac kama ndivyo, haifanyi kazi rafiki!
bayo haipo kwenye contact zako tumia white list ndio sululisho ilakuwa balcklist namba ambazo hujazisevuWakishakusaidia na hilo wanisaidie na mimi pia..
Sitaki kupokea namba ambayo haipo kwenye contacts..
Wewe mwenyewe unatumia fake ID!Hivi hii tabia ya kila mtu akileta thread anasema kuna mshkaji wangu/kuna ndugu yangu/kuna rafiki yangu na bla bla nyingine, kwani ukisoma ni wewe kuna shida gani?
Hii code mkuu sio kwakila mtandao ukumbuke.*21*0754#
msg zitaingia lakini
ukitaka anaepiga aambiwe namba unayopiga haipo
*21*0000#