Kuna option yoyote mtu unaweza kufanya kwenye simu ili mtu akikupigia unakua hupatikani but in reality unapatikana?

Kuna option yoyote mtu unaweza kufanya kwenye simu ili mtu akikupigia unakua hupatikani but in reality unapatikana?

Hi Guys
My friend anauliza kuna option yoyote anaweza akafanya kwenye simu ili mtu akimpigia awe hapatikani but anapatikana?
Anaenda kwa her new babe so kuna this guy Ana date nae but Ana plan za Kuachana nae kiistaarabu so she will be spending like a month kwa huyo new babe. Sasa hataki uyo mwanume amsumbue kwenye simu.
Na hataki kumblock coz anaona kama yule atajiskia vibaya and all that Yani
Any advice wapendwa wangu kwa my friend?
Kila atakayekupigia atakukosa hewani, ataambiwa no unayoipigia haipo. Kurudisha chombo kwa hewa *23#.

Kublock watu ila sms kuingia *21*000#

Kurudi hewani *21#
 
Nenda Phone👉Juu Kulia Bonyez kile Kitufe cha Setting👉Ingia Harassment Filter👉 Switch On i) Block no. not in contacts ii) Block unknown contact..
Hebu jaribu hivyo... kama kuna hiyo options kwa Simu yako!
NIna option kama hiyo nimeweka on muda mrefu lakini bado napokea unknown numbers
Screenshot_20240624-145508_Call settings.jpg
 
NIna option kama hiyo nimeweka on muda mrefu lakini bado napokea unknown numbersView attachment 3024778
Unknown au private hii huduma haitumiki kwa sasa hapa nchini kama wanatumia basi wachache

Hivyo inabakia kuwa option hewa kwa nchini kwetu

Private au unknown ni ile option ambayo simu I nakufikia lakini namba haionekani au huwezi tambua namba ya mpigaji

So ni kama haina maana labda kwa nchi zingine wanao ruhusu hiyo huduma
 
Ningekuelekeza lakini tatizo wabongo wengi hamtumii iphone
 
Nenda Phone👉Juu Kulia Bonyez kile Kitufe cha Setting👉Ingia Harassment Filter👉 Switch On i) Block no. not in contacts ii) Block unknown contact..
Hebu jaribu hivyo... kama kuna hiyo options kwa Simu yako!l
Hiyo ni blocking na watakaompigia wataambiwa anaongea na simu nyingine au namba inatumika hivyo watu watajua ameblock. Msaada utakiwao ni watu waambiwe namba haipo au haipatikani kwa sasa.
 
ukitaka hiyo hutaji kupokea namba am
Wakishakusaidia na hilo wanisaidie na mimi pia..
Sitaki kupokea namba ambayo haipo kwenye contacts..
bayo haipo kwenye contact zako tumia white list ndio sululisho ilakuwa balcklist namba ambazo hujazisevu
 
Kama una line mbili, Hakikisha moja ipo offline.
Kisha, nenda call settings, forward calls zote kwenda namba yako ambayo haipo kwenye simu.

Ukipigiwa hautapatikana, message zitaingia kama kawaida na ukiamua kupiga simu unapiga tu bila shida.
 
Hivi hii tabia ya kila mtu akileta thread anasema kuna mshkaji wangu/kuna ndugu yangu/kuna rafiki yangu na bla bla nyingine, kwani ukisoma ni wewe kuna shida gani?
Wewe mwenyewe unatumia fake ID!
Jitafakari kabla ya kutoa ushauri.
 
Back
Top Bottom