Kuna option yoyote mtu unaweza kufanya kwenye simu ili mtu akikupigia unakua hupatikani but in reality unapatikana?

Kuna option yoyote mtu unaweza kufanya kwenye simu ili mtu akikupigia unakua hupatikani but in reality unapatikana?

Hypergamy imewasha moto wake.

Inapigwa monkey branching moja ya hatari.
Funny enough akikamatwa atalia asamehewe
 
Kwa sisi watu decents hizo mambo hazitufai mara unatafutwa na Mamlaka za uteuzi ili uwekwe kwenye Mkeka wa Sharifa na hupatikani si majanga hayo!!? Hii huduma ni nzuri kwa Matapeli, Wanawake na Wanaume Malaya, Wadaiwa Sugu wa Vikoba, Kausha Damu n.k.....hata wengi wanaotoa hizo codes na wanaohitaji huduma hizo wanaangukia katika kundi hilo.
 
*21*0754#

msg zitaingia lakini

ukitaka anaepiga aambiwe namba unayopiga haipo

*21*0000#
Ni ni Kwa kila MTU atakaye mpigia itajibu hivyo, sasa kama hana mishez zingine ni kudinyana Tu afanye hibyo
 
Samsung A12
sijui niandikaje ili uelewe ngoja nijaribu kwenye call log yako pale juu kunakua na vidoti vi3 ukibonyeza hapo kuna option nyingi tafuta sehemu imeandika block unknown caller iweke on so mtu yoyote ambae hujasave namba yake akikupigia ataambiwa unatumika tu😂😂😂sijui kama umenielewa
nikipata mtu anaetumia android ntafanya kwa vitendo nikutumie video
 
Wakishakusaidia na hilo wanisaidie na mimi pia..
Sitaki kupokea namba ambayo haipo kwenye contacts..
Itakuwa unaishi Dunia ya kijijini kwenu tuu ambako wote mnajuana na hamuitaji simu kuwasiliana
 
sijui niandikaje ili uelewe ngoja nijaribu kwenye call log yako pale juu kunakua na vidoti vi3 ukibonyeza hapo kuna option nyingi tafuta sehemu imeandika block unknown caller iweke on so mtu yoyote ambae hujasave namba yake akikupigia ataambiwa unatumika tu😂😂😂sijui kama umenielewa
nikipata mtu anaetumia android ntafanya kwa vitendo nikutumie video
Nimefanya hivyo lkn haifanyi kazi. Kuna mdau kaniambia kwamba kwa Tz hakuna unknown wala private numbers ndo maana imekataa.
 
Mkuu mbona simu zote za kisasa zina hiyo option kwenye setting ya Call setting?
Mi ya kwangu nishaiset haipokei namba ngeni.
Basi yangu imegoma. Nimeseti hivyo
Screenshot_20240624-145508_Call settings.jpg
 
Wakishakusaidia na hilo wanisaidie na mimi pia..
Sitaki kupokea namba ambayo haipo kwenye contacts..
Kumbe na wee unakuwa mjinga una wasifa gani kukataa kupokea namba mpya, Huna biashara, Huna dili lolote unafnya?
 
Back
Top Bottom