Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
#21# pole kama nimechelewa kujibuMkuu kujitoa kwenye hiyo ya kwanza nafanyaje? Nishapuyanga nilikua natest mitambo simu haziingii
Ni ni Kwa kila MTU atakaye mpigia itajibu hivyo, sasa kama hana mishez zingine ni kudinyana Tu afanye hibyo*21*0754#
msg zitaingia lakini
ukitaka anaepiga aambiwe namba unayopiga haipo
*21*0000#
sijui niandikaje ili uelewe ngoja nijaribu kwenye call log yako pale juu kunakua na vidoti vi3 ukibonyeza hapo kuna option nyingi tafuta sehemu imeandika block unknown caller iweke on so mtu yoyote ambae hujasave namba yake akikupigia ataambiwa unatumika tu😂😂😂sijui kama umenielewaSamsung A12
😂😂😂😂ilaNi ni Kwa kila MTU atakaye mpigia itajibu hivyo, sasa kama hana mishez zingine ni kudinyana Tu afanye hibyo
Itakuwa unaishi Dunia ya kijijini kwenu tuu ambako wote mnajuana na hamuitaji simu kuwasilianaWakishakusaidia na hilo wanisaidie na mimi pia..
Sitaki kupokea namba ambayo haipo kwenye contacts..
Ni kweliItakuwa unaishi Dunia ya kijijini kwenu tuu ambako wote mnajuana na hamuitaji simu kuwasiliana
Nimefanya hivyo lkn haifanyi kazi. Kuna mdau kaniambia kwamba kwa Tz hakuna unknown wala private numbers ndo maana imekataa.sijui niandikaje ili uelewe ngoja nijaribu kwenye call log yako pale juu kunakua na vidoti vi3 ukibonyeza hapo kuna option nyingi tafuta sehemu imeandika block unknown caller iweke on so mtu yoyote ambae hujasave namba yake akikupigia ataambiwa unatumika tu😂😂😂sijui kama umenielewa
nikipata mtu anaetumia android ntafanya kwa vitendo nikutumie video
Sidaiwi. Sipendi tu kupokea simu za watu nisiowafahamuMuwe mnalipa madeni ya watu kuepuka huu usumbufu.
Aah wapiUtapishana na magari ya mshahara ww🤔🤔🤔
Basi yangu imegoma. Nimeseti hivyoMkuu mbona simu zote za kisasa zina hiyo option kwenye setting ya Call setting?
Mi ya kwangu nishaiset haipokei namba ngeni.
ipo bhanaNimefanya hivyo lkn haifanyi kazi. Kuna mdau kaniambia kwamba kwa Tz hakuna unknown wala private numbers ndo maana imekataa.
Asanteukitaka hiyo hutaji kupokea namba am
bayo haipo kwenye contact zako tumia white list ndio sululisho ilakuwa balcklist namba ambazo hujazisevu
Kwangu haifanyi kazi. Nimeweka on siku nyingiipo bhana
Basi yangu imegoma. Nimeseti hivyo
View attachment 3025480
Kumbe na wee unakuwa mjinga una wasifa gani kukataa kupokea namba mpya, Huna biashara, Huna dili lolote unafnya?Wakishakusaidia na hilo wanisaidie na mimi pia..
Sitaki kupokea namba ambayo haipo kwenye contacts..
Unanipangia maisha, who are you?Kumbe na wee unakuwa mjinga una wasifa gani kukataa kupokea namba mpya, Huna biashara, Huna dili lolote unafnya?