Kuna option yoyote mtu unaweza kufanya kwenye simu ili mtu akikupigia unakua hupatikani but in reality unapatikana?

Kuna option yoyote mtu unaweza kufanya kwenye simu ili mtu akikupigia unakua hupatikani but in reality unapatikana?

Wakishakusaidia na hilo wanisaidie na mimi pia..
Sitaki kupokea namba ambayo haipo kwenye contacts..
Inategemea na phone, kwangu naweza Fanya hivyo
 
Attachments

  • _20240625_104402.JPG
    _20240625_104402.JPG
    118.5 KB · Views: 5
*21*0754125125# utachati utakua online meseji zinakuja na kujibu ila call hazitakuja. Pia whatsap call zitakuja
 
Sidaiwi. Sipendi tu kupokea simu za watu nisiowafahamu
Maana hutaki kuongeza circle ya watu wengine katika maisha yako? Lazima muanzie mahali mkiwa hamjuani hadi mnajuana. Wote kwenye contact list yako mnawasiliana?
 
Eti hataki her new baby ampate hewani....

UNAJIKUTA NDO UNAJUA KINGEREZA
"her new baby" nikajua mtu kajifungua majuzi kumbe kitu na box, kwa hiyo old baby kesha kujengea nyumba sasa umehamia kwa mtoto uliyejifungua hivi karibuni akununulie Vitz! We endelea na hiyo tabia.
 
Hi Guys
My friend anauliza kuna option yoyote anaweza akafanya kwenye simu ili mtu akimpigia awe hapatikani but anapatikana?
Anaenda kwa her new babe so kuna this guy Ana date nae but Ana plan za Kuachana nae kiistaarabu so she will be spending like a month kwa huyo new babe. Sasa hataki uyo mwanume amsumbue kwenye simu.
Na hataki kumblock coz anaona kama yule atajiskia vibaya and all that Yani
Any advice wapendwa wangu kwa my friend?
Call setting, then Call barring.

Hutopatikana kwa yeyote wala hutoona sms ya yeyote.

But unakuwa uko hewani na kupigia mtu unaweza ila kupigiwa wewe ndiyo haiwezekani
 
Maana hutaki kuongeza circle ya watu wengine katika maisha yako? Lazima muanzie mahali mkiwa hamjuani hadi mnajuana. Wote kwenye contact list yako mnawasiliana?
Circle itaingezeka nikikutana nao nasave number zao na si kupigiwa simu na mtu nisiyemjua ama mtu ambaye kapata namba yangu kwingine analazimisha mawasiliano.
 
Circle itaingezeka nikikutana nao nasave number zao na si kupigiwa simu na mtu nisiyemjua ama mtu ambaye kapata namba yangu kwingine analazimisha mawasiliano.
Sawa Demi. I hope nami siku moja nitaingia katika contact list yako.
 
Acheni mchezo wa ku block simu ambazo hazipo kwenye contact, mtakuja kupoteza opportunites na kujuta.
Kuna rafiki yetu alipataga ajali pikipiki so walimuokota wakawa wanapiga simu alizokua anawasiliana nazo, tungekua na huo mchezo leo tusingekua nae.
 
Back
Top Bottom